Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Rushwaaaaa pesa za bajeti ya rubber bullets zinaliwa,hawana hata mabomu ya machozi ya kuzuia maandamano ya siku mbili.Kwa kifupi hawana akili ndiyo maana hata pesa zao za kufa na kuzikana zinaliwa na maafisa,konstebo zero brain ni kuitikia tu ndiyo afande.
 
Acha ujinga, mwaka gani huo alikuwa anazunguka mikoani? Hakuna Mawaziri au wakuu wa mikoa hadi Rais akae kuzunguka mikoani kila wiki?
Ziara amefanya sana mikoani hii Ni mfano tu mmoja wa ziara zake mikoani. Swali kwako mawaziri na wakuu wa mikoa hawakuwepo?

Ziara👇
 
Ingieni tena barabarani kama mnayaweza msitupoteze muda hapa nyuma ya keyboard
Waache wapunguze misongo ya mawazo. Wananchi wa kawaida kwa wingi wao wamewakataa hawa wanaharakati baada ya kugundua kuwa wao huko US na Ulaya wanalipwa pesa nzuri huku wakiwachuza ndugu waliowaacha TZ waingie mitaani wakapigwe risasi.

Mtu mwenye umri wa kuwa na majukumu hawezi kuingizwa chaka na siasa za wanaharakati, watawapata hawa vijana wa mijini wanaoishi kisela ambao hawana cha kupoteza maishani.
 
Atachagua kwenda kwa hiari yake au anasubiri apigwe "tanganyika jeki"
 
Wengi kati yao ni sukuma gang hao
Kweli kabisa, hawakuamini siku JPM alipoaga dunia. Vichwani mwao wakaanza kugundua ule utawala wao ulikuwa umefikia mwisho.

Hawa kina Humphrey Pole Pole na wengi wa kanda ya ziwa walitegemea kumnyanyapaa SSH wakamkuta chuma kwelikweli
 
Kumbe huelewi siasa za dunia.

Hiyo tu inaleta justification ya kupinduliwa. Sio viongozi wote watependa kuishi kwa vikwazo, wanahitaji uhuru.

Kama sio kupinduliwa, ni kuuwawa. Ili maisha ya watu yaende.
 
Unawaamini hawa wanaharakati?
 
Kweli kabisa, hawakuamini siku JPM alipoaga dunia. Vichwani mwao wakaanza kugundua ule utawala wao ulikuwa umefikia mwisho.

Hawa kina Humphrey Pole Pole na wengi wa kanda ya ziwa walitegemea kumnyanyapaa SSH wakamkuta chuma kwelikweli
Adui yenu halisi ni nani? Uvccm wanasema ni chadema, kina big show wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu, nyie mnasema wasukuma. Teueni adui yenu mmoja kuliko kujichanganya
 
Huu uzi kuna wengine wapo kazini, na kuna wengine wanaongea uhalisia, waliopo kazini najua mtapaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…