Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Adui yenu halisi ni nani? Uvccm wanasema ni chadema, kina big show wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu, nyie mnasema wasukuma. Teueni adui yenu mmoja kuliko kujichanganya
Maadui wanakuwa wengi kadri uongozi unavyoendelea kujitofautisha katika viwango vya kupata matokeo yaliyoahidiwa wakati wa kampeni.
 
Kwahiyo na Samuya atakuwa na kibarua cha kukimbia kimbia na kujificha kama Al bashir, hiyo nayo ni adhabu tosha kwa mwanamke.
 
Wengi kati yao ni sukuma gang hao
Adui yenu halisi ni yupi? Wewe unasema ni wasukuma, uvccm wanasema ni chadema kina heche na lissu, bigshow na timu yake wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu

Kaeni chini mkubaliane adui yenu ni yupi
 

Hawawezi jibu swali hilo hao mafala.

Wakitaka waachwe wanaichoma nchi huku wanajinadi wanaelekea ikulu kisha tuwaache??

Nchi hii ni yetu sote...hatuwezi kuwaacha mafala waharibu nchi kwa hoja zao za kifala kifala
 
Walimchukulia poa Samia sababu ni mwanamke, mbona wakati wa Magufuli waliufyata kimya

Walidhani kwa kuwa ni mwanamke basi ni size yao kenge hawa.

Sasa wamevuna walichokipanda...wathubutu tena kucheza na dola waone nguchiro hawa
 
Hawawezi jibu swali hilo hao mafala.

Wakitaka waachwe wanaichoma nchi huku wanajinadi wanaelekea ikulu kisha tuwaache??

Nchi hii ni yetu sote...hatuwezi kuwaacha mafala waharibu nchi kwa hoja zao za kifala kifala
Wale jamaa walipeleka moto kweli kweli hawakucheka na kima hata kidogo!.

Zile ndoto za Gen Z kuiteka ikulu huku wakijirusha kwenye vitanda ziliishia maeneo ya Mwenge na Kinondoni. Hawatakaa waisahau ile siku.
 
Akili zinatoka wapi au ile elimu ya masomo mbalimbali? Kuongoza nchi si ajabu, shetani na ubaya wake wote anatawala dunia, dini zote usiku na mchana zinapambana lakini bado yupo

Sasa wewe kubali au kataa yeye ndie Rais na huna uwezo wa kufanya lolote fala wewe
 
Wale jamaa walipeleka moto kweli kweli hawakucheka na kima hata kidogo!.

Zile ndoto za Gen Z kuiteka ikulu huku wakijirusha kwenye vitanda ziliishia maeneo ya Mwenge na Kinondoni. Hawatakaa waisahau ile siku.
Hakuna mtu alikua katili kuliko Hitler. Mwisho ilikuaje?
 
Akili zinatoka wapi au ile elimu ya masomo mbalimbali? Kuongoza nchi si ajabu, shetani na ubaya wake wote anatawala dunia, dini zote usiku na mchana zinapambana lakini bado yupo
Trump kule USA alifanyiwa mitihani ya chuo kikuu hivi sasa rais kwa muhula wa pili.

Wewe na PHD sijui Doctor unaishia kujaza seva ukitukana na kulalamika tu humu JF.
 
Nguvu nyingi kwa warusha mawe inaonesha kwamba vyombo vyetu vya ulinzi havina watu wenye akili zaidi ya nguvu za bunduki.
 
Hakuna mtu alikua katili kuliko Hitler. Mwisho ilikuaje?
Hitler alivuka mipaka ya Ujerumani akaenda Urusi alitaka kuua wayahudi wote.

Samia amerudisha nidhamu kwenye nchi iliyotaka kuharibiwa na wapuuzi wachache wenye kudhani wana akili kuliko serikali nzima.

Hitler na SSH watu wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…