Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.

Ndio uzushi wenyewe ambao ni msingi wa mada za uzi huu.
Kwani Hamza Johari anajuwa kila aina ya sheria? Yeye alitaka liwasilishwe vipi; kwani hiyo ndiyo itabadili uovu mlioufanya?
Mmempoteza sana huyu mwanamke asiyekuwa na akili kabisa kichwani
 
Endeleeni tu kujisifu kuuwa mlivyo mazwazwa. Uzuri haya yote yanasomwa na kuwekwa kiushahidi vizuri. Jiandaeni tu kunyea debe ICC.
 
Kwa hiyo shoot to kill ndiyo ifike sebuleni na vibalazani kwa sheikh majini.Ulishawahi kufika Sudan wewe malaya mnuko mpaka useme Sudan nyingine.
Malaya ni mama yako mzazi aliyekuzaa na hajakuonyesha baba yako ni nani hadi leo!! Ndiyo maana unaporomosha matusi tu
 
sasa matokeo yake ndiyo yanayowawasha nyote wakati huu. Mbaya zaidi, hata nyinyi washangiliaji mtaambulia haki zenu.
 
Endeleeni tu kujisifu kuuwa mlivyo mazwazwa. Uzuri haya yote yanasomwa na kuwekwa kiushahidi vizuri. Jiandaeni tu kunyea debe ICC.
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
 
Utaelewa tu.

Stay tuned.
 
Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.

Ndio uzushi wenyewe ambao ni msingi wa mada za uzi huu.
Vyovyote itakavyokua ila amini kuwa Samia lazima asimame ICC. Ebu ingia kwenye tovuti ya ICC ujiulize kwanini kesi ya Netanyahu ilifunguliwa na ikaendeshwa kwa uharaka ndani ya mwaka huohuo?
Sababu kuu ni ushahidi wa makosa yaliyotendwa na Serikali ya Israel ...
Makosa yaliyotendwa na vikosi vya serikali yapo bayana tena hayaitaji uchunguzi wa zaidi ya wiki moja.

Hizo kesi unazoziona zinachukua siku nyingi ni baina ya vikosi vya watu kama m23 dhidi ya serikali na kuepekea wananchi kuuliwa.

Ila hii ya vikosi vya serikali dhidi ya wananchi, wee hachomiki asilani.
 
International laws, umeanzisha uzi halafu hujui mambo ya msingi kuhusiana na mada uliyoanzisha!.

Wewe ni zaidi ya zwa zwa. Mnashikiwa akili na wasomi wetu uchwara waliojaa mitandaoni.
Afu Mzanzibar una jiita jina la Kirundi Qumamay wallah !
 
Ndo ujue serikali haina muda wa kupoteza kuongea na hawa wavaa magauni wanuka mikojo wa hapa bongo

Nyinyi endeleeni kusaga sumu za chuki serikali inasonga hatua mbele zaidi.
Ndio maana nakuambia hiyo serikali kuanzia nyie machawa mpaka walio juu wote madishi yamecheza.
Hapa bongo mbona waziri mkuu alimuita huyo kitima, akapiga nae picha kibao mkasambaza kwenye kila media kama habari kubwa
 
Zilipendwa,jikite kwenye hoja

Harafu Chadomo muache kuhadaa Vijana harafu nyie mnalipwa na beberu
 
Sovereignity ya kulinda ouvu ambao umeshuhudiwa na dunia nzima hakuna😂! Sovereignty tu ya kupinga mashoga na ushoga hamna sembuse hio ya kufanya mauaji ya halaiki😂???
Sovereignty ya Nchi inalindwa Kwa gharama zote iwe damu au jasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…