Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kuna story ya jamaa anaitwa MUNA hapo kibaha special school miaka ya nyuma..Watu wanashindwa kutofautisha mambo ya kusema huyo ni genius ,nakumbua kuna dogo primary alikuwa moto wa kuotea mbali ,hiyo shule yao ya msingi tangia ianzishwe haijawahi kutoa mtu kwenda special ila yeye alienda alipata 145 akaenda Kibaha lakini form iv alipata One ila siyo Single Digit na advance akapata sijui Div 2 hivi yaani hadi nikawa nashangaa huyo jamaa kipaji kilipotelea wapi....navyojua genius anakuwa STEADY yaani A flat mwanzo mpaka mwisho.
π π Hapo kwenye chaki nimecheka sanaa.Kuna watubvichwa haswa
Nawajuwa wao waliondokaga bongo
Walijuwa tu wataishia kushika chaki tu
Ova
Binafsi sikuwai kuwa na ndoto ya kuwa T.o Mimi nilisoma shule ya KAWAIDA o-level wilayani Kijijini bila umeme, nikijipikia still nika toboa kwenda A_level special school...Miaka ya karibuni kuanzia pale zama za JPM. Kuna trend mbaya sana tuliitengeneza ya kuwadhalilisha wasomi hapa nchini, ndio hii inayozunguka mtaani mpaka leo.
Ukifuatilia kwa karibu hizi mada za wasomi na hawa vipanga utaona lengo la wengi linakuaga kuwadhalilisha na kuonyesha hawana lolote, cha kushangaza na wao wamesoma kwenye mfumo huo huo lakini wameshindwa ku-perfom kama hawa wenzao.
Kuwa TO sio mchezo ndugu yangu. Wakati naanza form pale azania, shule ya feza ilikua na utaratibu wa kufanya interview kwa vipanga wote watakaotaka kushiriki halafu top 3 wanachukuliwa na kusomeshwa kwa ufadhiri wa shule. Kuna jamaa tulianza nae form 1 pale azania alienda kupiga paper akapita kwenye 3 bora.
Wakati nipo shule ya msingi darasani nilikua na mpinzani mmoja ambae tulikua tunagombania nafasi ya kwanza yeye akishika 1 mimi 2,mimi nikishika 1 yeye 2. Katika story aliniambia ndoto yake ni kuwa TO form 4.
Nimesoma Azania olevel na Mzumbe alevel. Nimesoma na watu wana akili sana sana sana darasani. Walifaulu vizuri na hata ambao bado tuna urafiki mpaka leo wana maisha mazuri. Wengi ni diaspora na wapo kwenye mashirika ya kimataifa.
Pamoja na kukutana na mijitu yenye akili sana katika safari yangu ya elimu akini sijawahi kusoma na mtu yoyote ambae alipiga TO. Kuwa TO sio mchezo bhana, watu wana wivu tu.
Huyu jamaa alikuwa anajua physics sana, anajua kufundisha kwa njia rahisi ya kuelewa, na alikuwa anaipenda sana yaan. Shida ya huyu bwana ilikuwa ni jeuri, jeuri ndo ilifanya jamaa kukwama.Utaratibu wa kupewa scholarship kwa hawa vipanga ulishafutwa????
Nakumbuka miaka hiyo kaka yangu alifauli vizuri sana form six na alipata ufadhili na kupelekwa na serikali nje. Alisoma na yuko vizuri na yuko na kazi nzuri...... Inakuaje huyu kuishia kuwa mwalimu wa tuition???? Uwezo wake hakuutendea haki.
Jamaa wanachukulia poa, unakutana na mtu ana akili, mpaka unahisi huyu atakuwa TO lakini wapiπMiaka ya karibuni kuanzia pale zama za JPM. Kuna trend mbaya sana tuliitengeneza ya kuwadhalilisha wasomi hapa nchini, ndio hii inayozunguka mtaani mpaka leo.
Ukifuatilia kwa karibu hizi mada za wasomi na hawa vipanga utaona lengo la wengi linakuaga kuwadhalilisha na kuonyesha hawana lolote, cha kushangaza na wao wamesoma kwenye mfumo huo huo lakini wameshindwa ku-perfom kama hawa wenzao.
Kuwa TO sio mchezo ndugu yangu. Wakati naanza form pale azania, shule ya feza ilikua na utaratibu wa kufanya interview kwa vipanga wote watakaotaka kushiriki halafu top 3 wanachukuliwa na kusomeshwa kwa ufadhiri wa shule. Kuna jamaa tulianza nae form 1 pale azania alienda kupiga paper akapita kwenye 3 bora.
Wakati nipo shule ya msingi darasani nilikua na mpinzani mmoja ambae tulikua tunagombania nafasi ya kwanza yeye akishika 1 mimi 2,mimi nikishika 1 yeye 2. Katika story aliniambia ndoto yake ni kuwa TO form 4.
Nimesoma Azania olevel na Mzumbe alevel. Nimesoma na watu wana akili sana sana sana darasani. Walifaulu vizuri na hata ambao bado tuna urafiki mpaka leo wana maisha mazuri. Wengi ni diaspora na wapo kwenye mashirika ya kimataifa.
Pamoja na kukutana na mijitu yenye akili sana katika safari yangu ya elimu akini sijawahi kusoma na mtu yoyote ambae alipiga TO. Kuwa TO sio mchezo bhana, watu wana wivu tu.
Ila mkuu hata Kama una akili kuzidi, wengine usikaze shingo yako, jinyenyekeze maisha hayana mwenyewe. Nikiingia kwenye mazingira tofauti huwa najitahidi sana kuwa mkimya.Miaka ya karibuni kuanzia pale zama za JPM. Kuna trend mbaya sana tuliitengeneza ya kuwadhalilisha wasomi hapa nchini, ndio hii inayozunguka mtaani mpaka leo.
Ukifuatilia kwa karibu hizi mada za wasomi na hawa vipanga utaona lengo la wengi linakuaga kuwadhalilisha na kuonyesha hawana lolote, cha kushangaza na wao wamesoma kwenye mfumo huo huo lakini wameshindwa ku-perfom kama hawa wenzao.
Kuwa TO sio mchezo ndugu yangu. Wakati naanza form pale azania, shule ya feza ilikua na utaratibu wa kufanya interview kwa vipanga wote watakaotaka kushiriki halafu top 3 wanachukuliwa na kusomeshwa kwa ufadhiri wa shule. Kuna jamaa tulianza nae form 1 pale azania alienda kupiga paper akapita kwenye 3 bora.
Wakati nipo shule ya msingi darasani nilikua na mpinzani mmoja ambae tulikua tunagombania nafasi ya kwanza yeye akishika 1 mimi 2,mimi nikishika 1 yeye 2. Katika story aliniambia ndoto yake ni kuwa TO form 4.
Nimesoma Azania olevel na Mzumbe alevel. Nimesoma na watu wana akili sana sana sana darasani. Walifaulu vizuri na hata ambao bado tuna urafiki mpaka leo wana maisha mazuri. Wengi ni diaspora na wapo kwenye mashirika ya kimataifa.
Pamoja na kukutana na mijitu yenye akili sana katika safari yangu ya elimu akini sijawahi kusoma na mtu yoyote ambae alipiga TO. Kuwa TO sio mchezo bhana, watu wana wivu tu.
Kuna tofauti kubwa ya kupiga msuli wa nguvu na kuwa Genius. Mara nyingi genius hawatumii nguvu coz ni kipaji walichojaaliwa.kupiga msuli wa nguvuuuuuuuu na kuwa na kumbukumbu
Upo sahihi Kuna watu concept ngumu wanazielewa kwa wepesi mnoo..Kuna tofauti kubwa ya kupiga msuli wa nguvu na kuwa Genius. Mara nyingi genius hawatumii nguvu coz ni kipaji walichojaaliwa.
Kitakacho kuja kuamua Game ni Nidhamu.Ukiwa huna nidhamu hata kama una kipaji huwezi kutoboa.Kinyume chake kama una nidhamu na hauna kipaji utatoboa.
Tuliosoma Azania kuna mtoto mmoja baba yake alikuwa mkuu wa chuo kikubwa hapa Tanzania. Walikuja wamarekani wanatafuta genius, wakatunga mitihani yao.
Dogo akatusua.Dogo hakuongoza ule mtihani ila top 3 alikuwemo, kumbe wazee wanavigezo vyao! Wakatusanua kuwa wengine wanatumia nguvu sana kusoma!
Wale wawili waliobaki O-level mmoja alipata division 1.7 mwingine division 1.8. A-level wote walipiga division 1.3.
Hawa wawili ule msuli wao plus nidhamu viliwasaidia sana. Yule dogo akisoma sana basi ni saa moja tena akiwa kitandani.
Unataka kujua dogo ni nani sasa huko duniani???
Mwingine alikuwa mtoto wa mbunge fulani, msuli wote unapigwa kitandani ndani ya saa huyo kalala! Maswali magumu yote yanafanyika kitandani tena kirahisi sana.
Huyu hakudumu sana tukisikiaga tu yupo mbele!
Dogo ni ............huko U.S.A!
Hawa ndiyo magenius niliofanikiwa kukutana nao na kushangaa! Kama Wamarekani walishangaa kwanini mimi nisishangae?????????
Ndiyo hao madogo walikuwa hivyo.Polepole mwenyewe alikuwa anawashangaa! Anatumia masaa 10 kusoma, madogo wanatumia saa moja kuperuzi!Yaani mtu anasolve everything yupo kwenye msuli bed
Utaratibu upo kupitia samia scholarship, kuna vijana wamepelekwa south africa kusoma bachelors, wengine new zealand kusoma masters.Utaratibu wa kupewa scholarship kwa hawa vipanga ulishafutwa????
Nakumbuka miaka hiyo kaka yangu alifauli vizuri sana form six na alipata ufadhili na kupelekwa na serikali nje. Alisoma na yuko vizuri na yuko na kazi nzuri...... Inakuaje huyu kuishia kuwa mwalimu wa tuition???? Uwezo wake hakuutendea haki.
Uki unga dot kidogo ntawajua maana..Kuna bro mmoja alitoka seminary akakacha u padre ndio walikua form six ya kwanza pale Benjamin high school..Ndiyo hao madogo walikuwa hivyo.Polepole mwenyewe alikuwa anawashangaa! Anatumia masaa 10 kusoma madogo wanatumia saa moja kuperuzi!
I wish wangelitumika hili taifa coz of their skills! Baadaye ndiyo nikagundua hii kitu Brain Drain ipo!
Nasikia chuo alimwambia mkufunzi yey akitunga mtihani hapati hata 3%π πHuyu mshikaji mi naanza form 5 ye ndo kawa t.o, alikuwa na kelele sana na nilikuwa nasikia habari zake kwa jamaa yangu alikuwa pale Tosa.
Nasikia aliwahi sema hata Mungu akae na shetan watunge swali, hawezi kukosa!
Jamaa muhaya π π nini? NshomileNasikia chuo alimwambia mkufunzi yey akitunga mtihani hapati hata 3%π π
Nyingine wanadai jamaa alisahisha marking scheme ya mwalimu akapata 60π π πJamaa muhaya π π nini? Nshomile
Kuna T.O mmoja alikua ana li piki piki likubwa..Nyingine wanadai jamaa alisahisha marking scheme ya mwalimu akapata 60π π π
hii kauli yako imeniuma hii nchi wenye akili hawatakiwi kabisa aisee π«π«Ndiyo hao madogo walikuwa hivyo.Polepole mwenyewe alikuwa anawashangaa! Anatumia masaa 10 kusoma madogo wanatumia saa moja kuperuzi!
I wish wangelitumika hili taifa coz of their skills! Baadaye ndiyo nikagundua hii kitu Brain Drain ipo!
Kihombo starehe zilimponza ila alikua anakusanya pesa ndefu sanaKuna T.O mmoja alikua ana li piki piki likubwa..
Kama Yale ya kuongozea misafara alikua anapiga sana pesa mikoa kwenye shule za Boys.
Miaka mingi nyuma iliyo pita ni hatare sana sana
nasikia walimfelisha chuo kisa jeuri, ali Disco UDSMUtaratibu wa kupewa scholarship kwa hawa vipanga ulishafutwa????
Nakumbuka miaka hiyo kaka yangu alifauli vizuri sana form six na alipata ufadhili na kupelekwa na serikali nje. Alisoma na yuko vizuri na yuko na kazi nzuri...... Inakuaje huyu kuishia kuwa mwalimu wa tuition???? Uwezo wake hakuutendea haki.
You must be talking about Frank Minja very smart chap, alisoma Harvard, sasa heβs a professor at Yale teaching future presidents and billionaires , na ana private practice in Connecticut piaKuna tofauti kubwa ya kupiga msuli wa nguvu na kuwa Genius. Mara nyingi genius hawatumii nguvu coz ni kipaji walichojaaliwa.
Kitakacho kuja kuamua Game ni Nidhamu.Ukiwa huna nidhamu hata kama una kipaji huwezi kutoboa.Kinyume chake kama una nidhamu na hauna kipaji utatoboa.
Tuliosoma Azania kuna mtoto mmoja baba yake alikuwa mkuu wa chuo kikubwa hapa Tanzania. Walikuja wamarekani wanatafuta genius, wakatunga mitihani yao.
Dogo akatusua.Dogo hakuongoza ule mtihani ila top 3 alikuwemo, kumbe wazee wanavigezo vyao! Wakatusanua kuwa wengine wanatumia nguvu sana kusoma!
Wale wawili waliobaki O-level mmoja alipata division 1.7 mwingine division 1.8. A-level wote walipiga division 1.3.
Hawa wawili ule msuli wao plus nidhamu viliwasaidia sana. Yule dogo akisoma sana basi ni saa moja tena akiwa kitandani.
Unataka kujua dogo ni nani sasa huko duniani???
Mwingine alikuwa mtoto wa mbunge fulani, msuli wote unapigwa kitandani ndani ya saa huyo kalala! Maswali magumu yote yanafanyika kitandani tena kirahisi sana.
Huyu hakudumu sana tulisikia tu yupo mbele!