Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment hadi nimeacha kula maana nimejamba bahati nzuri nipo mwenyewe getoni , mimi niliambiwaga nishushe window maana ndio niliosomeaAsingekuwa amekwama kitaalauma na kuwa mwalimu wa tuition, majority wasinge mtambua. Ni ile tu ameeacha alama kwa vijana wa leo kwa kuwapiga Pindi tuition.
Kuna vipanga viko kimya tu, hawakuwa na kelele mtaani, wako sehemu wanafanya makubwa.
Japo most of TO huku mtaani wako frustrated. Umekomaa na phyisics ukaondoka na A kali. Ukaenda Telecom, ukaondoka na GPA kali, ukaenda kazini, unakuta aliekuajiri (HR) ni mtu wa HKL, Boss ni mtu wa biashara. Mbaya zaidi wanakwambia mtaalam, njoo uwasaidie kuchomeka printer, haiwaki
Kweli alipiga sana mapindiKihombo starehe zilimponza ila alikua anakusanya pesa ndefu sana
🤣🤣🤣🤣🤣 hii comment hadi nimeacha kula maana nimejamba bahati nzuri nipo mwenyewe getoni , mimi niliambiwaga nishushe window maana ndio niliosomea
Jamaa alikua na majivuno hatariHuyu Elias Kihombo simfahamu zaidi ya kumuona (picha) na sifa zake mtandaoni.
Lkn niseme jamaa alikuwa na kitu special, hebu emergine mtu hakuwa na cheo chochote wala wadhifa wowote. kutrend nchi nzima baada ya miaka 5 Toka kifo chake.
Ni ma- TO wangapi wamepita nchi hii mpaka Leo?? Kwani Nini atrend yeye tena akiwa mautini??
Kama kufundisha tuition je ni walimu wangapi wazuri wanaofundisha tuition lkn hawajawahi kuimbwa kama kihombo?
Kwa mara ya kwanza Tz anatrend mtu wa taaluma, tushazoea wanatrend watu wa ajabu ajabu, mara king'amuzi, ambaruty sijui piere requid n.k . Lkn this time anatrend mtu wa kawaida tu tena ambae alikuwa mwl wa tuition tena marehemu( jaribu kufikiria)
Hakika jamaa ameacha alama, alama haifi katu, ndio maana Leo anatrend nchi nzima wakati jamaa alishafariki miaka 5 iliyopita......Aiseee!!!!
KIHOMBO NI SPECIAL ONE
Umemaliza kaka! Hao wanaobeza ni wale vilaza. Pengine hawajui maanaMiaka ya karibuni kuanzia pale zama za JPM. Kuna trend mbaya sana tuliitengeneza ya kuwadhalilisha wasomi hapa nchini, ndio hii inayozunguka mtaani mpaka leo.
Ukifuatilia kwa karibu hizi mada za wasomi na hawa vipanga utaona lengo la wengi linakuaga kuwadhalilisha na kuonyesha hawana lolote, cha kushangaza na wao wamesoma kwenye mfumo huo huo lakini wameshindwa ku-perfom kama hawa wenzao.
Kuwa TO sio mchezo ndugu yangu. Wakati naanza form pale azania, shule ya feza ilikua na utaratibu wa kufanya interview kwa vipanga wote watakaotaka kushiriki halafu top 3 wanachukuliwa na kusomeshwa kwa ufadhiri wa shule. Kuna jamaa tulianza nae form 1 pale azania alienda kupiga paper akapita kwenye 3 bora.
Wakati nipo shule ya msingi darasani nilikua na mpinzani mmoja ambae tulikua tunagombania nafasi ya kwanza yeye akishika 1 mimi 2,mimi nikishika 1 yeye 2. Katika story aliniambia ndoto yake ni kuwa TO form 4.
Nimesoma Azania olevel na Mzumbe alevel. Nimesoma na watu wana akili sana sana sana darasani. Walifaulu vizuri na hata ambao bado tuna urafiki mpaka leo wana maisha mazuri. Wengi ni diaspora na wapo kwenye mashirika ya kimataifa.
Pamoja na kukutana na mijitu yenye akili sana katika safari yangu ya elimu akini sijawahi kusoma na mtu yoyote ambae alipiga TO. Kuwa TO sio mchezo bhana, watu wana wivu tu.
HapanaKitoto Cha 2000s😄
Sometimes ni natural character ya mtu, kuna watu kiasili tu wana ego na hata sio vipanga. Ni vyema pia kuangalia mazingira wapi uwe humble wapi uwe ruthlessIla mkuu hata Kama una akili kuzidi, wengine usikaze shingo yako, jinyenyekeze maisha hayana mwenyewe. Nikiingia kwenye mazingira tofauti huwa najitahidi sana kuwa mkimya.
Waafrika tuna wivu wa kijinga sana. Mtu amekuzidi badala ya ku-appreciate kipaji chake tunaanza kumkandia.. Oooh alikua overrated. Mbona wengine walishindwa kupiga TO?Binafsi sikuwai kuwa na ndoto ya kuwa T.o Mimi nilisoma shule ya KAWAIDA o-level wilayani Kijijini bila umeme, nikijipikia still nika toboa kwenda A_level special school...
Ninge fail form four ingekua kovu la maisha nili ishii mwenyewe hata sikua na mtu wa kuja graduation Wala mtu yoyote alie nilea Mimi ndio baba na mama..
Nilikua sizuruli kusoma kwangu ni ugonjwa kufaulu kwangu ndio kupona nilikonda sana soma Kila kitu.. kama vile mtu aliweza kurap wimbo wa msanii Fulani basi vitabu vyoteee vya masomo yote nilijifundisha kivyangu vyangu mfano Topic ya matrix o-level nilisoma mwenye nilifaulu na A_Level.
NB. Mimi sikua kipaji chochote sema kupiga msuli wa nguvuuuuuuuu na kuwa na kumbukumbu nzuriii ndio kumesaidia wengi.. All in all , Kuna watu gifted hata ukisema mpambane nae kwenye masomo humuwezi...
mm niliyepata three ya mwishoni nikoment wap sasa misifa tuuu.....!Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄
Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana walimfelisha kwasababu ya ujuaji wake) baada ya hapo akarudi mtaani kuzurura kutafuta shule na Tuition za kufundisha.
Alirudi chuo Tena UDSM kusoma petroleum engineering mwaka 2013 na kuhitimu 2017.
Huyu jamaa alikuwa anapenda kuwaita wenzake nyumbu😄
Moja ya misemo yake alikuwa akisema. "Huwezi kupata Division 1 Kama unasoma Dar"😄
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 3549386
Babu si nili kwambia nimekuwa mkubwa!😂 Hata wewe nae!
Watu wana wivu sana Mimi nakubali Kuna watu gifted hata kama perhaps hata ukiwa na mafanikio Ina bidii ukubali kua Kuna watu ni giftedWaafrika tuna wivu wa kijinga sana. Mtu amekuzidi badala ya ku-appreciate kipaji chake tunaanza kumkandia.. Oooh alikua overrated. Mbona wengine walishindwa kupiga TO?
Shida ni kwamba wakitoka huko wanatumikaje kwa manufaa ya taifa?? Au ndio kugeuzwa machawa na wanasiasa...!Utaratibu upo kupitia samia scholarship, kuna vijana wamepelekwa south africa kusoma bachelors, wengine new zealand kusoma masters.
Madogo inabidi muwe mnatoa salamu kwa wakubwa zenu😀Mimi na wewe probably tuna umri sawa, 93,94,95.
Acheni kutusema...ni mwaka wangu huo kumaliza form six, 1:4 EGMJamaa alikuwa ana jeuri ya ukipanga wa kipindi kile, zamani vipanga walikuwa wanaringa sana.
Nimesoma historia yake., Wote wanakubaliana kuwa alikua ni mtu hatari sana kwenye physics na math. Tatizo lake lake wanasema hakuwa na adabuImagine TO anaita wanafunzi wake nyumbu,pimbi,kimangala etc tena tuition, what if angekuwa kwenye ajira si bakora za kufa mtu.
Nimesikia kule Same Boys aliwahi kupigwa na mavijana bila shaka ni haya mambo ya lugha chafu.
Acheni kutusema...ni mwaka wangu huo kumaliza form six, 1:4 EGM...na chuo sijawai lipa hata mia, world bank walinilipia kila kitu cuz ya mathematics.
Pengine sio starehe mkuu unaweza kujichanganya mara Moja tu ukaenda na majiKihombo starehe zilimponza ila alikua anakusanya pesa ndefu sana
😄😄hii ni same 2011 , nilikua nawapigisha madogo mapindi pale shule yangu ya zamani😁Imagine TO anaita wanafunzi wake nyumbu,pimbi,kimangala etc tena tuition, what if angekuwa kwenye ajira si bakora za kufa mtu.
Nimesikia kule Same Boys aliwahi kupigwa na mavijana bila shaka ni haya mambo ya lugha chafu.