Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Kwa namna nilivyoisoma.....lilith alikuwa na capacity ya kimalaika. So alikuwa na uwezo na ndio chanzo cha kuona Adam kwake si chochote. Kama alivyofukuzwa iblis ndivyo kwa Lilith. Chakula chake ni manii na mazingira ya namna hiyo machafu.

Katika uzao wanawake jamii ya linlithgow wapo na ni wakaidi kwa waume zao. Lilith alikutana na kjendeleza kizaz jeuri na wanawake hao wapo na hawana heshima kwa waume zao.

Kama alivyoua kaka aake abel...na kuuana kunako duniani...ndivyo kwa uzao wa Lilith wanawake tusio na heshima kwa waume zetu
 
Elimu nyingine ni mbigiri zina miiba mingi ya kutosha kukuchoma wakati wa kuzisoma.
 
Tafasiri ya siku kwako kwa mujibu wa Biblia Unaielewa vipi??
Unaanza tena kutumia akili kubwa,

Sawa,

Ikawa asubuhi, "ikawa jioni, siku ya kwanza". Twende na tafsiri hii ya siku.

Baada ya siku 6 za uumbaji wa 1, uuambaji wa pili ulitumia muda gani?
 
Unaanza tena kutumia akili kubwa,

Sawa,

Ikawa asubuhi, "ikawa jioni, siku ya kwanza". Twende na tafsiri hii ya siku.

Baada ya siku 6 za uumbaji wa 1, uuambaji wa pili ulitumia muda gani?
Ok sawa Vizuri kabisa..
Uumbaji wa pili haukuandikwa umetumia Siku ngapi..
Sasa sijajua hoja yako kuwa kama haujaandikwa kutumia siku ngapi ndo utakuwa Batili?
 
Karibu jf
 
Ok sawa Vizuri kabisa..
Uumbaji wa pili haukuandikwa umetumia Siku ngapi..
Sasa sijajua hoja yako kuwa kama haujaandikwa kutumia siku ngapi ndo utakuwa Batili?
Ok. Hivyo hujui. Sawa, huu uumbaji wa 2 ulihusisha nini na nini?
 
Nimekusoma mkuu. Kama unaamini lilith ni hadithi za kutungwa yaani kusadikika ili ziburudishe watu na kuwafundisha. vipi kuhusu hadithi zilizomo kwenye maandiko kama safina ya nuhu,sodoma na gomora huoni kwamba zilitungwa tu ili kutuogopesha tujue kuna moto nk? wewe una uhaakika upi kama ni kweli yaliyo andikwa kwenye vitabu? je unaamini mohamedi alienda hadi wingu ya saba kwa mungu na akarudi?
 
Ok. Hivyo hujui. Sawa, huu uumbaji wa 2 ulihusisha nini na nini?
Nimeelezea tayri na ukienda kusoma utaona pia..
Na biblia kutoandika siku haimaanishi kuwa haukuwepo..

Usisahau Kaini alipomuua HABILI alikimbilia Nchi za mbali na watu wa huko Walizuiwa Kumuua...na aliwekewa Alama ili kila mtu atakayemuua Apate adhabu..

Sasa cha kujiuliza kwanini Biblia ilijikita kwenye Adam na Eva wakati kumbe kuna nchi zingine zilikuwepo na Hata kaini alioa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…