Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Nimeelezea tayri na ukienda kusoma utaona pia..
Na biblia kutoandika siku haimaanishi kuwa haukuwepo..
Biblia ipo wazi. Tunayajadili maandishi yaliyomo humo kuwa ni kweli yalimaanisha uumbaji namba 2 kama ulivyosema?
Hii ni mada tofauti boss. Uwepo wake haufuti uwepo wa mada ya uumbaji.
 
Biblia ipo wazi. Tunayajadili maandishi yaliyomo humo kuwa ni kweli yalimaanisha uumbaji namba 2 kama ulivyosema?

Hii ni mada tofauti boss. Uwepo wake haufuti uwepo wa mada ya uumbaji.
Yah yalimaanisha uumbaji..
Angalia mpangilio wa matukio ya kiumbaji halfu niambie kama Ulikuwa Sawa...

Na ndo maana nikasema kama Utahama Hoja na kuingia kwenye Documentary Hypothesis ndo Tutaidiscuss kwa Lugha Moja mada hiyo
 
Sasa basi usihame ili twende pamoja. Swali la kwanza la muda hukujua. Swali la pili likawa, uumbaji wa pili ulihusisha vitu gani? Kwa kutumia hiyo hiyo biblia.
 
Achana na hy bangi unayovuta
 
Nikifa MkeWangu Asiolewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Id Ya kiwehu hii ..poyee..
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ™ŒπŸ™Œ vinge vingiii..atakua alikua ama.macho mazuri kama uwoya mayb fullnyodo
Adam asingemuacha, angekua nao wote tu.....ili dunia ichangamke zaidi ya hapa 😹, huku Lilith anamnyoosha Adam huku Eva anamtii huku mawifi na wakwe wanapelekeshwa na Lilith.
Jamani nimetamani turudi tu Eden kwakweli tukachangamshwe.
 
Hii chai 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…