My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
Yes my wife future
Vitoto vinapenda kuwekwa balaa. Sijui tunaelekea wapiAcha kubaka
Sasa ndiyo miaka 16? Yaani amezaliwa 2009Vitoto vinapenda kuwekwa balaa. Sijui tunaelekea wapi
Kuna mahali uliambiwa sisi tuliooa tuna tatizo, acha zako bwana😂Hawa hawa 😄😅 vijana wananifaa, Maana nikisema nidate wababa nitatembea na waume za watu sasa
Tushazeeka mzee mwenzangu, mtoto wa miaka 16 ni kujikosea adabu...anaanzaje kuona mavz ya mtu mzima asee!!Duuuh ! Mtoto wa miaka 16 unamvuaje nguo!!????? Hatari sana halafu si salama hata!
Chika hi mada naona hainihusu mimi rasi wangu😊Mpaji Mungu na min -me nawasubiri majibu yenu 😎
Ni hatari mno na haikubaliki mzee mwenzanguTushazeeka mzee mwenzangu, mtoto wa miaka 16 ni kujikosea adabu...anaanzaje kuona mavz ya mtu mzima asee!!
Sitaki gundu 😀, nami nasubiri mume wangu wa halaliKuna mahali uliambiwa sisi tuliooa tuna tatizo, acha zako bwana😂
Ni hatari aisee!Tushazeeka mzee mwenzangu, mtoto wa miaka 16 ni kujikosea adabu...anaanzaje kuona mavz ya mtu mzima asee!!
Mshangazii-6, kanizidi miaka 6
Kwanini haikuhusu?Chika hi mada naona hainihusu mimi rasi wangu😊
Umetutukana😂, tengua kauli...sisi tunakupa gundu?Sitaki gundu 😀, nami nasubiri mume wangu wa halali
Ujana una mambo memgimaisha ya skul noma sana, nilimzidi miaka 2 na bado tukawa na mipango ya kuoana😆,, siku moja dada ake akamchana utamzekea mwenZio. ikaisha hiyo
siku zikasonga mbele, nikapata niliyemzidi miaka 6,, mipango ikawa miiingi lakini ndiyo hivyo tena,, ikaisha shwaaaa
nisiende mbali wife nimempita miaka miingiiiiiiiiiiiii , 😋
Mambo ya mapenzi sio kipaumbele changu , huko nilishatoka ikirudi ni panchaKwanini haikuhusu?