Namuona dosho12 π πMy modern woman with an ancient charm Tayana-wog eti umenizidi miaka mingapi?
Nashindwa kuwajibu maana vile tunapendana na vile unanipa heshima stahiki hata tofauti ya umri nasahau.
Shukrani kwa kunikumbusha, tufurahie maisha kipenzi umri kwetu ni namba tu πNamuona dosho12 π π
Mbona sio mingi 23 km Rais Macron wa ufaransa na mkewe Brigitte
It's just a number eeh .... mwangalie rais WA ufaransaAge means nothing
It's just a number.
Unikome mi tall πΉπΉmkinga flani mweupe mfupi
π€£π€£π€£π€£Yaani wangekuwa wenza wanapita humu hakyamama unaweza achikaShukrani kwa kunikumbusha, tufurahie maisha kipenzi umri kwetu ni namba tu π
Ww n mwislamu?Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
natafuta maokoto, mjini mipangoUnikome mi tall πΉπΉ
Ulifichwa wapi we ngadu?
-9Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
Umeshayapata nikusaidie kutumia shem π₯°natafuta maokoto, mjini mipango
16Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ??
Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16
Sijui wewe,,.....
ID zenyewe za kuchovya watajulia wapi ππ€£π€£π€£π€£Yaani wangekuwa wenza wanapita humu hakyamama unaweza achika
Umewaza mbali sana ππDuuuuh!
Miaka 16 si unaishi na mtoto ambaye hata mkataba hawezi kusaini?
unapenda mteremko weweUmeshayapata nikusaidie kutumia shem π₯°
Mteremko mzuri unasave mafuta kwenye gari shem..!! πunapenda mteremko wewe
Safi sana, naona umetega urithi.Mimi 24 mke wangu 76
HahaaaID zenyewe za kuchovya watajulia wapi π