Tofauti na Kiswahili, unafahamu lugha gani nyingine?

ilibidi nijifunze kiitaliano baada ya kukutana na pisi moja ivi kutoka kisiwa cha Palermo. saiv naiongea vizuri kuliko ata kingereza.

kwa sasa nina mpango wa kujifunza Kichina.

1. Kinyakyusa
2.kikurya
3.kisukuma
4.kijaluo
5.kiswahili
6.kitaliano
7.kingereza

Ciao.!
 
Njoo nikufundishe!

Kama unaelewa kifaransa, itakuwa rahisi sana wewe kujua Lingala na kinyume chake. 😊
Lingala imekopa maneno mengi sana kutoka kifaransa, hii ni kwa sababu Congo zote mbili, DRC na Brazza ni "Francophone" lugha yao ya kiofisi/kiserikali ni Kifaransa.

Kwa mfano; ukisema Merci, pia kilingala ni asante, mkongo anaweza sema merci kwa lingala au matondi, akimananisha asante sana . Utaona katika Lingala, kuna maneno ya kifaransa na yanakamilisha sentensi.
Mfano; ukisema "Lukuta eyaka na ascenseur, kasi vérité eyeka na escalier mpe ekomi". 😊
 
Kireno,Kiswahili,English kidogo,wolofu kiasi(hii inapatikana Senegal) kimakua, kichina kiasi kidogo cha kuombea pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…