Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
ahsanteHii kitu magufuri pekee ndio alikua anaweza
Hongeraa sana mkuu
Nyako kanyo kanyoochie nade mabell~”,,
Eminza🤭😂
ndugu zangu tujuane hapa japo kwa salam😎
comasavah, kwa majirani
Oui, je vais bien, merci. Et vous?
wanyantuzu wazuri kuliko unavyodhani kijana, andaa zako ng'ombe 50 ujionee maajabu!Hii shemeji imekaa kaa vp kuna pisi qali mnyantuzu kweli
Hii naijua kiasi maana nilisha tembelea suji chankanga miaka hiyo ya zamani,na niliwahi kuandika hapa zamani.Nilipata marafiki ukoo wa akina eksaudi nyikaUrewedi, nethina mburi bwashee
Ng'ombe 50 ni sawa na thamani ya kiinua mngongo cha mwalimu mkuu alafu nikitolee mahari kisa kikojoleo cheupe?wanyantuzu wazuri kuliko unavyodhani kijana, andaa zako ng'ombe 50 ujionee maajabu!
matokeo ya kikojoleo cheupe ni.................?Ng'ombe 50 ni sawa na thamani ya kiinua mngongo cha mwalimu mkuu alafu nikitolee mahari kisa kikojoleo cheupe?
kumbe hadi unajuwa ni weupe na ulikuwa unavunga? basi kasubii mndengereko wako akikukumbuka!Ng'ombe 50 ni sawa na thamani ya kiinua mngongo cha mwalimu mkuu alafu nikitolee mahari kisa kikojoleo cheupe?
Tatizo nyege zinaweza kukufanya ukafanya jambo la ajabu ukishakojoa tu ndo unakua na akilimatokeo ya kikojoleo cheupe ni.................?
Nitatafuta geto mitaa ya sinza liwe geto la machinjiokumbe hadi unajuwa ni weupe na ulikuwa unavunga? basi kasubii mndengereko wako akikukumbuka!
Hii tumefanya sana ujananiNitatafuta geto mitaa ya sinza liwe geto la machinjio
huko unapokaa hakuna madem?Nitatafuta geto mitaa ya sinza liwe geto la machinjio
Kinyakyusa,kigogo,kiinglish Kwa mbali,kiswahili !Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti, na shule pia tulisoma Kayumba so kipengele.
Je, wewe unafahamu lugha gani nyingine za ndani na nje ya nchi? Elezea kero inayokukabili kisha tutafsirie
Apa mtaani kuna wamama tuhuko unapokaa hakuna madem?
Mmmmmh! Ni "ichieo nade?" Inajibiwa "maber"ochie nade mabell~”,,
Eminza🤭😂
ndugu zangu tujuane hapa japo kwa salam😎
comasavah, kwa majirani