Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Africa, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Bado hujanipa jibu mkuu define neno "maendeleo " sijasema useme afya sijui miundombinu n.kNi kiwango kidogo cha umaskini.
Huwa yanapatikana kwa;
Uhuru mkubwa wa kuchagua Kiongozi unayemtaka, huduma bora za afya, elimu, maji, nishati n.k, miondombinu bora.
Hujajibu swali weweMarekani ni nchi iliyoendelea.
Kama nikishindwa kuiletea familia yangu maendeleo ndani ya miaka 60, nakuwa nimefeli vibaya sana.Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?
Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?
Bado hujanipa jibu mkuu define neno "maendeleo " sijasema useme afya sijui miundombinu n.k
Kwenye familia yako unakusanya kodi??
Una mbuga za wanyama, bandari, madini?
Unaweza kukopa bila kuwa na dhamana?
Pambaf zako! Marekani toka uhuru wake ina marais wangapi mpaka sasa? Na je wameweza kumaliza matatizo yote ya wamarekani?
Ukiona hivi, juwa tatizo ni mfumo mbovu...institutions zetu ni mbovu!Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Ukiona hivi, juwa tatizo ni mfumo mbovu...institutions zetu ni mbovu!
Mbona hii ya sasa haifuatwi kwenye hayo mazuri ikija katiba mpya itabidilisha niniKatiba ni mbovu pia na ndicho chanzo.
Ukiona hivyo ujuwe,mtizamo wako ni hasi,sio chanya.Maendeleo tunayaona,hayahitaji tochi.Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.Ukitika kupima maendeleo yetu tujipime na nchi kama Singapore,Vietnam, Malysia na Korea ya kusini ambazao mwaka 1960 wakati tunapata huru tulikuwa sawa nazo kimaendeleo ndipo utajua jinsi tunapiga tu mark time kwa miaka 60.
Mbona hii ya sasa haifuatwi kwenye hayo mazuri ikija katiba mpya itabidilisha nini
Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.
Matatizo haya yote yanatokana na Siasa yetu mbovu ambayo inatokana na Wananchi wengi wajinga-umaskini wa fikra bado ni tatizo sana.
Unajipimaje na mjinga mwenzio,kipofu na kipofu mwisho ni shimoni.Kwanini tusijipime na Waafrika wenzetu kwanza halafu ndio tuangalie Mashariki