Mkapa mimi naona ni moja ya marais wa ovyo kabisa. Ule ukuaji wa uchumi unaosemekana ulitokea kipindi chake ilikuwa ni sababu ya kuuza mali za umma.Pamoja na mapungufu yake.. nadhani Mkapa alikuwa kiongozi mwenye vision. Japo sipendi matabia yake mengi, lakin nampa credit mbele ya wenzake
Ukiona hivyo ujuwe,mtizamo wako ni hasi,sio chanya.Maendeleo tunayaona,hayahitaji tochi.
Haya ,Rais mzuri ,ni Mbowe au Lissu.Tusubiri tuone.Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
The Man"The beautful ones are not yet born"
Tangu vizazi na, vizazi hatujawahi pata vizazi korofi kama nyieKipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Bandari ya Bagamoyo na mradi wa gesi vilisimama kabisa kipindi cha Magufuli,Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.
Matatizo haya yote yanatokana na Siasa yetu mbovu ambayo inatokana na Wananchi wengi wajinga-umaskini wa fikra bado ni tatizo sana.
Hata Hayati kaua secta binafsi mkuuNitawasamehe Marais wote walopita mpk wa Zanzibar lkn sio huyu MAREHEMU
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
mada ni pana sana ila kwa utashi wako unaipeleka unakotaka wewe kwenye uchamaKwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!
Na samihaTuseme tu ukweli Mwinyi na JK hawakupaswa kuwa ma-Rais wa nchii hii
Hoja yangu ni kwamba mambo mengi mabaya yaliyotokea yalikuwa kinyume na katiba ya sasa hivyo hata ikija hiyo mpya kama watu hawataiheshimu ni kazi bure tu. Kwa Tanzania wakuu wa vyombo vya ulinzi wanateuliwa na Rais na hii haiwezi kubadilika hata ikija katiba mpya, marekani na ulaya pia wakuu wa hivyo vyombo vya usalama wanateuliwa na wakuu wa nchi ila utofauti wetu na wao ni kwamba wao wanafata sheria na sio mtu hata kama amewateua.Itabadilisha pakubwa namna viongozi wetu wanavyopatikana ambalo ni jambo muhimu sana kwa sababu wao ndio wanahusika kutunga sheria,sera,na kuzisimamia. Wao ndio wanahusika kuingia na kuivunja mikataba.Wao ndio wanasimamia ujenzi wa miondombinu.Wao ndio wanaosimamia ukusanyaji wa kodi.
Naunga mkono hoja, hatuwahi kupata raisi wa maana na inawezekana tusipate kabisaKipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Mapema sana mkuuNa samiha
Dah....mkuu kwani Chadema wanakusanya Kodi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Kwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!