Hoja yangu ni kwamba mambo mengi mabaya yaliyotokea yalikuwa kinyume na katiba ya sasa hivyo hata ikija hiyo mpya kama watu hawataiheshimu ni kazi bure tu. Kwa Tanzania wakuu wa vyombo vya wanateuliwa na Rais na hii haiwezi kubadilika hata ikija katiba mpya, marekani na ulaya pia wakuu wa hivyo vyombo vya usalama wanateuliwa na wakuu wa nchi ila utofauti wetu na wao ni kwamba wao wanafata sheria na sio mtu hata kama amewateua.
Mkapa na mwinyi walikuwa hawan budi kufanya hivyo,maji yalikuwa yamisha wafika shingoni.Matatizo hata yote ya Sera za kiuchumi aliye vurunda ni Nyerere kiburi chake ndicho kilichotuangamiza jamaa alikuwa hana tofauti na Magufuli kwa kiburi na jeuri.Tungekuwa na msingi na kujua tunaelekea wapi, ingefanyika analysis ya kujua chanzo kikubwa cha mapato cha wananchi, baada ya kujua ni 80% kilimo......budget na uwekezaji huko ungekuwa mkubwa kuanzia pembejeo bora, vifaa bora vya kilimo, Vifaa bora na uwekezaji kwenye mbegu bora za mifugo......sasa Nyerere alijenga viwanda, Mkapa akauza.......
Kikwete wako hakuwa mzalendo. Alikuwa tayari nchi iuzwe kwa Wachina. Ujambazi mitaani kwake sawa. Maajali ma njia panda, sawa. Mtoto wake kuwa celebrity tajiri, sawa. Ma umeme na ma maji kukatika, sawa ili mradi yeye anapata.Kikwete ndie Raisi bora sana kwa Maendeleo katika kipindi chake Uchumi hadi wa Mtaani ulipiga hatua kubwa
Sawa mkuu nilikuwepo tangu enzi za Nyerere nipe fact ya vitu alvyo fanya mwinyiKama ulikuwepo enzi za Nyerere basi utamuheshimu Mwinyi kama umezaliwa 95 hapo tutakusamehe
Uko sahihi kabisa, hsa hsa awamu ya tatu, nne na tano ambayo ndio ya ovyo kuwahi kutokeaKipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
CHADEMA inaongoza serikali?Kwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!
Bora ata jk mara mia, kuliko chato boy, hyu alikuwa kituko cha nchi na dunia nzima aisee.Tuseme tu ukweli Mwinyi na JK hawakupaswa kuwa ma-Rais wa nchii hii
Kama kweli kabisa ulikuwepo enzi za Nyerere wala huitaji kupewa facts za Mwinyi,Sawa mkuu nilikuwepo tangu enzi za Nyerere nipe fact ya vitu alvyo fanya mwinyi
Dhana ya uongozi ni ile ile bwashee!CHADEMA inaongoza serikali?
South Africa imepata uhuru juzi tu, tizama maendeleo yao, tena baada ya uhuru maendeleo yameslow down mpaka wanapitwa na Nigeria.... Tatizo uongozi, kweli hatujapata watu wenye akili na maarifa ya kwenda sambamba na speed ya dunia.Kwanini tusijipime na Waafrika wenzetu kwanza halafu ndio tuangalie Mashariki
Achana na maneno ya vijiweni lete fact na twakum mkuuKama kweli kabisa ulikuwepo enzi za Nyerere wala huitaji kupewa facts za Mwinyi,
Ushauri: Watafute wazee uwanunulie kahawa na tangawizi kisha waulize habari za kipindi cha Nyerere na Mwinyi,
Hujachelewa.
Kuna vitu havihitaji takwim, si wengine wazee wetu wanatuambia kipindi cha nyerere maisha yalikuwa magumu sana, kila kitu hadi ukapange mstari dukani na mnapewa kwa kiasi kinacholingana kutokana na familia yako.Achana na maneno ya vijiweni lete fact na twakum mkuu
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
"The beautful ones are not yet born"
Maendeleo Ni mchakato. Kuna siku yatatimia kwa kiasi chake hayo unayotoka.
Kwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!
Tupime kiwango cha Maendeleo na ninaweza kusema tumetoka mbali na Maendeleo yanaonekana japo sio sekta zote
Hakuna hatua tumepiga Mkuu, ukilinganisha na miaka 60 ya uhuru haya yote yalitakiwa kukamilika ndani ya miaka angalau mitano, waafrika tuna matatizo ya akili.
Hatujafika popote, haya maendeleo ni natural course. Ni kawaida kwa binadamu kupiga hatua baada ya muda fulani.
Tuseme tu ukweli Mwinyi na JK hawakupaswa kuwa ma-Rais wa nchii hii
Maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi na ubunifu sio kuongea ongea
Basi hii ni taswira halisi ya mtanzania, ukiona hivyo basi taifa halina watu wa maana, ndio maana we're poor.
Upinzani wameturudisha sana nyuma.
Tumechoka na mchakato wa mwendo konokono.Tunataka mchakato wa mwendo wa farasi
Hahahaha ni kweli kabisa alafu hatujapata maendeleo badala yake tumempata Rais mwanamke
Ukitika kupima maendeleo yetu tujipime na nchi kama Singapore,Vietnam, Malysia na Korea ya kusini ambazao mwaka 1960 wakati tunapata huru tulikuwa sawa nazo kimaendeleo ndipo utajua jinsi tunapiga tu mark time kwa miaka 60.
Ahsante maana niliona naweza nikabishana kumbe nabishana na mtoto aliyezaliwa mwaka 2000.Kuna vitu havihitaji takwim, si wengine wazee wetu wanatuambia kipindi cha nyerere maisha yalikuwa magumu sana, kila kitu hadi ukapange mstari dukani na mnapewa kwa kiasi kinacholingana kutokana na familia yako.
Sio kweli, lazima nchi iweke mazingira ya wewe kupambana tofauti na hapo utakuwa unapigana na ukuta.Maendeleo yanaanzia kwako binafsi, kama huwezo kubadilisha maisha yako hakuna rais atakayekuletea maendeleo.
Kwani waliofanikiwa wamewezajeSio kweli, lazima nchi iweke mazingira ya wewe kupambana tofauti na hapo utakuwa unapigana na ukuta.
Waliofanikiwa wangapi kwa wastani ukifananisha na wasiofanikiwa. Somalia, Eritrea na Chad, Rwanda pia kuna watu wamefanikiwa lakini sasa ni wangapi?Kwani waliofanikiwa wamewezaje