mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu jamaa ni dalali wa ibilisi!! Amekuja kuweka shinikizo kwa mama kuhusu corona!! Hana agenda zaidi ya hiyo ! Ni wakala mku wa wa ibilisi!! Hafai!! Mama mtolee nje huyo, atakuponza! Usimsikilize!! Tuweke sheria: Ni marufuku mzungu aliyewahi kuvaa barakoa kuingia ikilu yetu !View attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
Madalali hatari ndio wanadiplomasia hodariHuyo Blair ni dalali hatari sana
Mama apunguze kuentertain hao jamaa aisee
Hawezi kumzidi baba yako udalaliππ
Ni wewe au ni mwingineKatika ustawi wa jamii yako na familia yako, ndoa za jinsia moja zinakutatiza nini? what is so special with ndoa moja. As long as hawaingilii maisha ya wengine in whatever way, ya mtu yeyote let them live their life they think fit!
Tony Blair ni jambazi wa kawaida. Amekuja kwa vile kibaraka wake na jambazi mwenzake Kikwete amerejea madarakani kwa mlango wa nyuma. Huo ni mwanzo. Mtaona wengi tu chini ya utawala huuView attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
Hawa yatima wa Mwendazake ni kama wamechanganyikiwa kwa sasa! Hawaamini kinachowatokea, walijaribu kumfitini Rais ndani ya chama na Serikali lakini wameshindwa, sasa wanatapatapa!! Wameharibu kila sehemu, Upinzani hawakubaliki na ndani ya CCM ndiyo hawana chao kabisa!! Hapa ndiyo nazikumbuka siasa za Lowassa, alitukanwa sana na wapinzani, hakuwahi kujibu chochote, siku aliyokuwa na uhitaji wapinzani hao hao walimsitiri (nadhani nao walijishtukia kwa uungwana aliokuwa nao mzee Ngoyai).ushahidi? ach mambo ya vicoba
Jamaa yake George Bush JuniorView attachment 1957478
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .
Swali ni hili , Amefuata nini ?
AS long as ni adult age, ni maisha yake. Tatizo ni kuwa unatawaliwa na mila bila kuwek upande kuwa dunia siyo ya 1961 wakati tunapata so called uhuru.Siku mtoto wako akiwa shoga ndo akili zitakukaa sawa!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
View attachment 1957521
Wengine hawa hapa, hakuna namna, lazima tupigwe tu safari hii.
Bado unamuota lissu. Kazi unayoLisu arudi tu nyumbani maana kazi yake huko ulaya imefeli
Si mnasema yuko huko kwa kazi maalumu ya kutushitaki kwa beberu zake?Bado unamuota lissu. Kazi unayo
Ministry of mineral,View attachment 1957521
Wengine hawa hapa, hakuna namna, lazima tupigwe tu safari hii.
Hao Wazee wa injini nyumaTony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.
Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.
kkkkk
Very proud ujue makatili wakiparurana ni furaha kwa wapenda hakiAnd you are proud
How on earth did God allow such a poop to come out breathing?
Nani kasema?Si mnasema yuko huko kwa kazi maalumu ya kutushitaki kwa beberu zake?
Siyo kweli!! Blair has nothing to do with our affairs!! Nadhani wanahisi shamba la bibi limerudi!! Wanataka kipiga pesa na si vinginevyo. Kuna biashara kubwa ya corona!! Wanatumia corona kutufanya watumwa!! Wanalazimisha kutukopesha pesa nyingi kwa masharti ya kununua vifaa na madawa ya kupima corona, kununua chanjo, na zoezi hili wamelipanga kuwa endelevu!! Wanakuambia chanjo moja wala mbili hazitoshi!! Nebu fikiri kidogo tu, ni sh ngapi zinahitajika kuwapima watanzania wote na kuwapa chanjo mbili watanzania wote ambazo hata hivyo hazitoshi!! Hizo pesa wanazotukopesha kwa lazima na kwa riba tunawarudishia tena maana kila kitu tunanunua kwao. Halafu na deni endelevu tutaendelea kulilipa vizazi vyetu vyote!! Ni utumwa wa kutisha!! Hawa hawapaswi kuwachekea!! Halafu siyo siri, wanatumia rushwa sana!! Ukikaa vibaya wanakufanyia blackmail!! Hii taka taka Bleya itukome!!Tanzania inazidi kuchanua KIDIPLOMASIA.....