Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Tony Blair amefuata nini Tanzania?

Lisu arudi tu nyumbani maana kazi yake huko ulaya imefeli
 
Ukitaka kujua umuhimu wa wageni angalia mikoa ambayo iliruhusu wageni na mikoa ambayo haipendi wageni.

Mfano DSM vs Moshi.
 
Tony Blair alimwambia Mugabe kama hutaki ndoa za jinsia moja misaada utaisikia kwenye bomba.
Tujiandae ndoa za jinsia moja.

Wiki ijayo baba la baba David Cameron naye anakuja.

kkkkk
Tundu ndo angekuwa rais mambo yao yangenoga, Ila kwa Mama big no.
 
Blair ni kiongozi wa nchi gani ?
Unamzungumzia GURU la siasa duniani ?!!!

Well.....

Huyo ndiye PM mstaafu wa UK ambaye alikuwa maarufu KUPITILIZA....na bado ni maarufu mno.....

Tony Blair ana USHAWISHI mkubwa katika mambo haya-:

1)Diplomasia

2)Sera za mambo ya nje(mshauri)

Mh.Tony Blair ameshawahi kuwa MIDDLE EAST ENVOY pale UMOJA WA MATAIFA.....

Tony Blair ni mwanzilishi wa taasisi hizi kubwa:-

1)Tony Blair Faith Foundation (masikilizano ya watu wa DINI zote ili kuifanya dunia pawe sehemu salama na bora zaidi kuishi kwa binadamu wote)

2)Tony Blair Sports Foundation


TUSISAHAU ROYAL TOUR ....

Kongole kwake mh.waziri Liberata Mulamula 💪

Kongole kwake Amiri Jeshi Wa majeshi ya Ulinzi na usalama mh.Rais SSH 👍😍

#NchiKwanza
#TanzaniaHaifungamaniNaUpandeWowote
#SiempreJMT
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Huenda anakuja kumfundisha mama kwamba "Demokrasia siyo Coca Cola"; lakini haiwezi kuwa karibu na 'udikteta'.
Sijui kama mama anao uwezo kutambua hilo.

Blair anaki'Foundation' chake pengine ndicho mama anataka ajifunzie "Kufungua Nchi" kama alivyotangaza.
 
View attachment 1957478

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu , tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka .

Swali ni hili , Amefuata nini ?
Kwanza ni mfadhili wa mkapa foundation,pia ni mshauri wa nchi nyingi sana na pia ni mtu wa demokrasia na utawala bora

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Katika ustawi wa jamii yako na familia yako, ndoa za jinsia moja zinakutatiza nini? what is so special with ndoa moja. As long as hawaingilii maisha ya wengine in whatever way, ya mtu yeyote let them live their life they think fit!
Siku mtoto wako akiwa shoga ndo akili zitakukaa sawa!!

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom