Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo aliposema kuwa yeye kama waziri hana uwezo wa kuzibadilisha tozo kwa vile zimepitishwa na Bunge alikuwa anadanganya umma?Sheria imeweka tozo lakini haikutaja kiasi cha tozo, kanuni ndio zinazoweka viwango vya tozo, na waziri wa fwdha ana mamlaka kisheria ya kubadilisha kanuni
Tayari wamefidia kwenye mafuta ya petroli na dizeliNaona kabisa hapa serikali imepunguza viwango kwa shinikizo toka kwa wananchi, lakini kama vitu vingine bado hawajavigusa kama mafuta ya kupikia, gas na mengine.
Nadhani watatafuta sehemu nyingine wakafidie hilo pengo, serikali isimkandamize mwananchi wa kawaida, ibuni na kusimamia vikubwa tulivyojaliwa na Mungu.
Nashauri serikali ingebaki na hivyo viwango vipya bila kuongeza pengine.
Swali zuri sana, binafsi nimegundua hizi tozo hazina formula maalum, yaani kuna miamala mingine tozo ya kodi ni kubwa Mara tatu kuliko tozo ya ada mtoa Huduma, mfano mie mwenye coda nikitaka kutuma elf40 kwa voda mwenzangu jumla ya tozo ni 1910. Tozo ya ada ni 400 wkt tozo ya kodi ni 1510, miamala mingne unakuta tozo ya ada na kodi zinalingana, pengine tena unakuta ada ni kubwa kuliko kodi, yaani formula ya hizi tozo kwa kwel ni magazijuto.Kwahio Punguzo hilo, litakuwa ni Ongezeko la Asilimia ngapi kutoka tulipokuwepo Awali....
Hii inanikumbusha story ya ukitaka kumchemsha chura ongeza moto kidogo kidogo..., ila huenda hapa ni kuweka moto mkali kuliko ili ukipunguza kidogo mtu aone ahueni ila kumbe bado ni moto mkali
Hapana wazo lako haliko sahihi, mtumaji ndo hapaswi kukatwa kodi, hii ndo inaitwa double taxation, miamala inayotakiwa kutozwa kodi ni ile ya kutoka fedha kwa wakala, make anayetoa pesa kwa wakala anahesabika ndo final consumer, na hiyo ndo misingi ya taxationsIlitakiwa waiondoe kwa Yule anayetumiwa,mtumaji akatwe tozo,siyo haya mazingaombwe.
Kumbe hufahamu sababu ya mafuta ya kupikia na gas kupanda bei unailaumi serikaliNaona kabisa hapa serikali imepunguza viwango kwa shinikizo toka kwa wananchi, lakini kama vitu vingine bado hawajavigusa kama mafuta ya kupikia, gas na mengine.
Nadhani watatafuta sehemu nyingine wakafidie hilo pengo, serikali isimkandamize mwananchi wa kawaida, ibuni na kusimamia vikubwa tulivyojaliwa na Mungu.
Nashauri serikali ingebaki na hivyo viwango vipya bila kuongeza pengine.
Pump price inaongezeka kutokana na kuongezeka bei duniani na bei ya usafirishajiMnapunguza Tozo huku Ewura wanaongeza Pump Price
Hahaha elimu ni tatizo hufahamu kuna kitu kinaitwa kanuni? Ndio maana kuongoza watanzania ni kazi watu hamjisomei unakariri tu, waziri apo kabadilisha kanuniHii serikali isiyofuata sheria zake ni serikali ya ajabu sana; kama sheria ilipitishwa na Bunge iweje Waziri wa fedha aibadilishe kienyeji kwa maelekezo ya rais tu? Utaratibu ni kuwa atayarishe muswada mpya wa kuirekebisha na kuupeleka Bungeni. Halafu swala siyo kupunguza kodi tu, inabidi bajeti nzima ifanyiwe marekebisho, kwani bajeti hiyo pamoja na mambo mengine ilitegemea mapatao yatokanayo na kodi hiyo ya miamala.
Hii imekaa sawa na Inaonesha ukomavu kuliko upupu aliouandika kwa kukurupuka Salary Slip kama kawaida yake Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%Kwahio Punguzo hilo, litakuwa ni Ongezeko la Asilimia ngapi kutoka tulipokuwepo Awali....
Hii inanikumbusha story ya ukitaka kumchemsha chura ongeza moto kidogo kidogo..., ila huenda hapa ni kuweka moto mkali kuliko ili ukipunguza kidogo mtu aone ahueni ila kumbe bado ni moto mkali
Bei ya usafirishaji wa bidhaa kuleta bandari ya dar es salaam imepanda hivyo lazima bei iwe juuVifaa vya ujenzi bei juu
Kaangalie ya Halima mdee hapo ufipa.Wabunge walipe kodi! Tunataka kuona salary slip ya ndugai!
Ni usanii tupu hakuna jipyaWaziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30%
Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa 10%
Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi Septemba 01, 2021
Taarifa Kamili:
View attachment 1918332
Naunga mkono hojaWao wanalala kwenye nyumba za bure ,umeme bure kazi kukata luku zetu wajinga sana.
Wapunguze matumizi kama kununua mashangingi, kulipana posho za kukaa pale Mjengoni na anasa nyingine nyingi.nimekasirika sana kwa TOZO kupunguzwa.
nilikuwa najisikia fahari sana kwa mapato yaliyo kuwa yanakusanywa, haswa baada ya kupatikana zaidi ya 40billion, lkn basi kwakuwa wameamua kupinguza wacha kazi iendeleee.