Hapa kazi tuu,tutawatumbua tuu haiwezekani watoe taarifa za uchochozi kama hizii eti mizigo imepungua[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mtakanusha tena?
Walitoa mfano kuwa impala huwa wanapitisha tani 4000 msimu kama huu lakini kwa kipindi hiki wamepitisha ta i 1000 tu...hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
Mkuu lazima walaumiwe washari tuu,maana yeye alisha sema tumuombeee tuu sio mambo ya kumshauriiNaona wamejikita moja kwa moja kwa washauri wa mh kuhusu masuala ya kodi
Nadhani panatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa wataalamu wa masuala ya kodi na biashara ili kujadili hali hii ambayo kama ikiachwa italigharimu taifa.
Mimi nimeona meli moja tu tena iko tupu
Nimeona hadi picha za bandarini , aibu ! Kuna makontena matano tu , mawili ya unicef , moja la unhcr .
Kwahiyo unabishana na mkurugenzi wa TPA?Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Wakati mwingine nahis hawalengi kumfurahisha bali kumhujumHalafu kuna watu wakiambiwa ukweli utasikia ooh wanakwepa kodi akili zingine za kijinga toka tani elfu 40 mpaka tani 1000 si hatari hiyo..kisha TRA wanakuja na mbwembwe za kukusanya kodi kwa 98.9% sijui kama wana mapenzi mema na nchi hii au ni kumfurahisha boss wao
Kila nikipita Tunduma najiuliza utitiri wa haya malori ya mizigo yanayovuka kwenda zambia yanatokea wapi. Malori mpaka vichochoroni lakin ukija kwenye vyombo vya habari unaambiwa bandari haina mizigo. Nimepita makambako nimekuta foleni ya malory ya transit zaidi ya km 4 yanasubiri kuvuka mizani.
Sasa TRA wanavunja rekodi kila mwezi ya makusanyo kivipi?
Wabunge hawa wanamatatizo sana walishindwa ishauri serikali bungeni leon wanataja kikao na wadau!? Au tuamini...matokeo hayo nikutokuwepo wapinzani bungeni!?? Na bajeti ikapita kwa kuungwa mkono 100%1.Mamlaka ya bandari yakiri upungufu wa mizigo bandarini.
2.Kamati za bunge zaitaka TRA ieleze inatoa wapi hizo kodi wakati idara nyingine zinalalamika hali sio nzuri
3.Kamati za bunge zawalaumu washauri wa Rais kushindwa kumshauri kwa mambo yanayohitaji UTAALAMU.
ITV habari saa 2
Pamoja na kubadilisha fedhaaa labda watu wenyenazo wamezichimbia chinii...!!Nimeiona hiyo.
Kuna umuhimu wa wadau kukutana na kupatia ufumbuz suala hili. Bandari ya Dar ndiyo roho yetu kuu ya uchumi. Inapoonyesha kutetereka lazima juhudi za makusudi zifanyike kunusuru hali.
Tukirudia uchaguzi leo ntampigia tena kuraTushafeli hadi hapa tulipo
Wale waliomchagua ndio tatizo zaidi
Naenda fasta Kule Kurasini....wasilete foleni huku hawalipi kodiNimeona hadi picha za bandarini , aibu ! Kuna makontena matano tu , mawili ya unicef , moja la unhcr .
Labda washindani wake wabadilishwe lakini kama ni wale wale wa mwaka jana hata kama uchaguzi utarudiwa mara 100 lazima Magufuli atashinda. Kwa hivyo waliompigia kura hawawezi kujilaumu na wala hawana tatizo lolote kwa sababu ni kama vile hakukuwa na option. Ilikuwa ni ama kumchagua magufuli ama kutoenda kupiga kura.Tushafeli hadi hapa tulipo
Wale waliomchagua ndio tatizo zaidi