TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Hata kama kusoma hujui picha nayo inakushinda?
 
Hivi rais wetu anashaurika??????

''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.

Msimuingilie kwenye majukumu yake
Hawa wanataka kumjaribu Mheshimiwa sana. Hawajui alishasema hajaribiwi. Mi naomba awashughulikie Hawa.
 
Umeongea vizuri sana. Hatimaye watawakumbuka pia Ritz na FaizaFoxy . Nadhani hawa jf member this time watakuwa wanacheka tu. Chezea uongozi wewe. Mtu kawatengenezea ajira millions then mnamtukana? Eti
Walikuwa wakiita autopilot. Sasa nawaongoze basi hiyo spidi ya Boeing 787 ili tuwahi kufika. JK tutakumbuka mnoo, umewafanyia mengi sana watanzania wasio na shukran. Kuanzia umeme vijijini, miradi ya maji na umwagiliaji, barabara, madaraja, maendeleo bibafsi, skyscrapers, universities, freedom etc.
 
Kwani presidaa anawashauri? Au ana amua tu yeye mwenyewe any way washauri wanaweza kuwa waoga,wasije tumbuliwe
 
Hahahaaaa ..wamedanganya weee sasa yamewafika puani ...njia ya muongo cku zote ni fupi tu ...eti mapato yamekuya yakiongezeka ..yanaongezeka vp wakat hakuna mizigo? hizi hesabu za kupika ili kumfurahisha mtukufu matokeo yake ndo hayo ...leo ukweli umedhihirika kuwa kumbe huwa tunadanganywa ....teh teh teh teh ...endeleeni kuchochea kuni labda mawe mnyoyapika yataiva ..
Hawa wanataka kumjaribu Mheshimiwa sana. Hawajui alishasema hajaribiwi. Mi naomba awashughulikie Hawa.
 
Hashauriki
 
Naona wamejikita moja kwa moja kwa washauri wa mh kuhusu masuala ya kodi
Nadhani panatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa wataalamu wa masuala ya kodi na biashara ili kujadili hali hii ambayo kama ikiachwa italigharimu taifa.
Ukisikia wabongo wanaongelea "washauri" ujue hilo ni dongo kwa rais wanalitoa kidiplomasia.

Bongo washua hawawezi kusema "rais kakosea", lazima watasema "washauri wamemshauri vibaya".

Wewe jitu kama Magufuli lile linasikiliza ushauri wa mtu?

Na kama washauri wabovu, kwa nini rais kachagua washauri wabovu?
 
Juzi kati kuna huyo boss wa bandari alisema...bandari mambo safi mizigo ni mingi....leo wamekanusha..

Wakati ule ilikuwa mingi ila kufikia leo hali imebadilika na kuwa hasi!!
 
In business perspective.... sehemu ambayo haiaminiki kibiashara ni ya kukimbia. Kwakuwa mifumo yetu ya kikodi ndani ya miezi michache mzingo niliokuwa naulipia million 3 sasa unatakiwa kulipiwa milioni 30. Labda mfanyabiashara mwehu ndo atafanya biashara eneo. leo hii kuingiza gari ni sawa na kujikomoa.... Acha wajifunze ili warudi wakiwa na mipango isiyobadilika overnight...
 
hivi unajua sekta hii ilikuwa inaingiza % katika kodi inayokusanywa?
 
Labda washauri wanaogopa kumwambia ukweli mfalme....

Tatizo TRA wenyewe wanatoza kodi kwa kuwakomoa wafanyabiashara.

Imefika wakati kufanya biashara Tanzania ni kama dhambi.!
Wewe huna tofauti na Petro aliyemkana Yesu.

Wewe ulikuwa mpiga kampeni mkubwa ukisema tusubiri Tz ya Viwands haya unayatoa wapi tena?
 
Siku hizi hata Zile gari za IT zimepungua njiani sio nyingi kama zamani
Kama vile unajua ninachowaza. Hizi zimenifanya week end nibaki kituni maana nilizoea kutoroka mzigoni afu jpili napanda IT mdogomdogo mpaka mikoani nawahi job j3 kama kawa. Leo ni ngumu aisee
 
mi ninaamini mheshimiwa sana akituliza munkari anaweza kufanya vizur kuzid watangulizi wake wote
I can bet! Kwa style inayowiana na hotuba ya kule Pemba, then kwa arrogance kama ile ikiingizwa kwenye uchumi, zimbabwe iko kimara nakwambia. Nani atakaewekeza kwenye nchi ambayo mamlaka sio supportive.

Hakuna kazi ngumu kama kushawishi uwekezaji Africa. Sasa kwa lipi hata aka perform better?
 
Kuna watu huwa kiasili hawajali wanafanya nini,kwa malengo gani na hata matokeo ya matendo yao hawajali,hata wakifanya makosa hawajutii yaani hata wakiumia hawajali.
Sasa kama tuna viongozi na wataalamu wa aina hiyo,wanaweza kuifikisha nchi pabaya na wakaendelea tuu hivyo hivyo,kwa kuwa ndivyo walivyo,they simply don't care,no matter what!
Hivyo ni jukumu letu sisi wengine TUNAOJALI kupambana na watu hawa wasitupeleke tusikotaka.Kama wao hawajali,sisi tunajali.
Hii ni nchi yenye watu,sio wanyama.
Ni lazima tuwe na vision, tuwe na taifa fulani tulitakalo vichwani mwetu,tuweke mikakati ya kulipata,ni jambo zuri linalotia hamasa kujua unaishi kwa ajili ya jambo fulani,unapambana na maisha upate kitu fulani kizuri.Sio kujiendea tuu.
We must have leaders with visions.
Nchi haileweki ipo ipo tuu.Watanzania tuna makosa makubwa sana.Tujirekebishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…