na kale kamsemo kake msinitafute ndio kanakoleza kabisaHivi rais wetu anashaurika??????
''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.
Msimuingilie kwenye majukumu yake
H ha ha ha iwe mini? Au iwe swimming pool au beachwaibadilishie matumiz Bandari kwanin Hawawi wabunifu?
Hilo la unicef labda itakua ni chanjo zimewasili,maana huku mahospitalini hamna chanjo kabisa.Nimeona hadi picha za bandarini , aibu ! Kuna makontena matano tu , mawili ya unicef , moja la unhcr .
Umembiwa mizigo ilikua inaingia tani40000 awamu takatifu inaingia tani1000 sasa mbona unajitoa ufahamu
hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
Alishinikizwa kukanusha baada ya kuwa ameweka mambo hadharani kwenye kikao chake na waandishi wa habari! Haya yamemkuta pia kimei wa crdb baada ya kusema wamestopisha kutoa mikopo baada ya kuyumba kifefha, ilibidi atume muakilishi kwenda kukanusha, in short bwana mkubwa hapendi watu wajue udhaifu wa mikakati yakd ya uchumiJuzi kati kuna huyo boss wa bandari alisema...bandari mambo safi mizigo ni mingi....leo wamekanusha..
kwenye hizo tani 40000 zilikuwa zinachangia kodia kias gani kwenye TRA kulinganisha na 1000?
Tumeipoteza congo kwa kumkumbatia kagameHatuwezi kurudi kama zamani tena maana Msumbiji wana reli ya uhakika na usafirishaji wa reli ni rahisi kuliko barabara.
swimming pool bojoooH ha ha ha iwe mini? Au iwe swimming pool au beach
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Acha utani kijanaHilo la unicef labda itakua ni chanjo zimewasili,maana huku mahospitalini hamna chanjo kabisa.
nimesha elewa sasahoja ya kamati sio ufanisi ni idadi ya mizigo inayopita bandari ya dar na mapato yake. jaribu kuelewa kwanza msingi wa hoja
Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani.Umembiwa mizigo ilikua inaingia tani40000 awamu takatifu inaingia tani1000 sasa mbona unajitoa ufahamu
Labda ahadi hewaNjia ile ni nyembamba iendayo uzimani.
Kontena zenye dhambi hazina nafasi kwenye nchi ya ahadi.
Kila jambo lina mwisho wakeHalafu kuna watu wakiambiwa ukweli utasikia ooh wanakwepa kodi akili zingine za kijinga toka tani elfu 40 mpaka tani 1000 si hatari hiyo..kisha TRA wanakuja na mbwembwe za kukusanya kodi kwa 98.9% sijui kama wana mapenzi mema na nchi hii au ni kumfurahisha boss wao
Kuficha noti c Kwa weny mabilion tu bal hata mwananch wa hal ya chini kama ana kalaki kake anakaifadhi maana hela haiingii ivyo lazma ela ipotee maana tunategemeanaUpinzani walilalamika Sana hili la bandari na utalii lakini jamaa akasema yeye Ni baunsa WA njaa, njaa ikimuona inakimbia nasubiri mwisho wa mpambano nani ataibuka kidedea ingawa mmoja kaanza kulalamika uchumi umechoka kisa watu wameficha noti
Hata Raisi mwenyewe. Nchi za wenzetu huu ujinga ukitokea Raic na Wazir mkuu wanabidi wawajibike kwa kujiuzuruKuanzia Waziri wa Fedha
Uchukuzi
Washauri wa Raisi hawa wote wanatakiwa wajiondoe