John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 416
Uongozi hauitaji pushapu ni busara tuuinahuzunisha na kusikitisha jamaa nch imemshinda kabisa. Cha kustaajabisha ajali na kiburi juu kwa kukomoana
Bado kunyoosha mikono tusubiliNJIA YA MUONGO FUPI MNO MARA WAMEFICHA HELA MARA MAFISADI NIMEWAZUIA GOJA TUONE
Tumeshaambiwa kwamba kupungua kwa mizigo sio kupungua kwa mapato. Taarifa za nyuma zilisema ingawaje kweli mizigo ilipungua lakini TRA walikuwa wanakusanya mapato zaidi au walikuwa wanatupiga changa la macho tu?Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!
Njoo unywe ata bia mbil keshoNgosha nchi imemshinda. Angekuwa mzalendo angejiuzuru.
Et wasitafte mchawi.
Mchawi anajulikana. Alikataa ushaur wa wapinzani.
Aisee umenichekesha malizia tuu Zimbabwe iko shekilango apoI can bet! Kwa style inayowiana na hotuba ya kule Pemba, then kwa arrogance kama ile ikiingizwa kwenye uchumi, zimbabwe iko kimara nakwambia. Nani atakaewekeza kwenye nchi ambayo mamlaka sio supportive.
Hakuna kazi ngumu kama kushawishi uwekezaji Africa. Sasa kwa lipi hata aka perform better?
Aya we tuambie,hilo jema la t.r.aKamati ina wabunge wafanyabiashara utegemee watasema jema kuhusu TRA?
Mkuu sasa mbona ulipokuwa unahojiwa na kamati ya bunge hukusema hayo afu unakuja kujitutumua huku jf. Subiri kutumbuliwa kuko pale pale.Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
iwe uwanja wa mpira tuchezee Gombania Goli na One Touch!H ha ha ha iwe mini? Au iwe swimming pool au beach
alisema lini "msinitafute"?kamati imejikita kwenye aggregate. hayo mengine hayana msingi kwani tulitegemea maboresho yengeongeza mapato kwa ujumla. kinachoonekana ni kushuka kwa mapato ambako kunafananishwa na mdororo which is a serious thing. kwa kifupi mapato yameshuka kupita kiasi na wadau walishauri baadhi ya mambo wakakataliwa na kurudishwa na kale kamsemo maarufu "msinitafute, sijaribiwi, kama hataki na aondoke"
canary in the mine=?Tulianza kusema siku nyingi hapa tukaonekana wazushi.
Na hili la bandari ni the so called "canary in the mine". Uchumi mzima unaelekea kuzorota.
[emoji2] [emoji2] [emoji2], mkuu mimi mwananchi wa kawaida tu nikijaribu kutoa fikra zanguMkuu sasa mbona ulipokuwa unahojiwa na kamati ya bunge hukusema hayo afu unakuja kujitutumua huku jf. Subiri kutumbuliwa kuko pale pale.
Kuna mmoja aliagiza gar japan Kwa mil 9 wazee wa kodi wamemnyuka milion 15 kodi peke ake mbal ela alonunulia gar.In business perspective.... sehemu ambayo haiaminiki kibiashara ni ya kukimbia. Kwakuwa mifumo yetu ya kikodi ndani ya miezi michache mzingo niliokuwa naulipia million 3 sasa unatakiwa kulipiwa milioni 30. Labda mfanyabiashara mwehu ndo atafanya biashara eneo. leo hii kuingiza gari ni sawa na kujikomoa.... Acha wajifunze ili warudi wakiwa na mipango isiyobadilika overnight...
or,"your ujanja has buma-ed!"Wenye lugha yao wanasema "your trick has backfired"
Naona kama vile washauri wanasingiziwa, kwenye hilo suala nafikri washauri wa kwanza ni bandar wenyewe na TRA, je wanamaanisha hao ?Hivi rais wetu anashaurika??????
''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.
Msimuingilie kwenye majukumu yake
Wabunge wa ccm wao kila kitu ni ndio.. Nchi ikiwa na wabunge wa chama kimoja unadhani mtafika sehemu yoyote.. Ndio mambo kama haya kina lusinde kimyaaYap,ndo maana nikasema wabunge wangeshauri vyema kuhusu hilo katika kikao cha bajeti kilichopita basi mawaziri wangefikisha ushauri huo kwa Rais ila kama waliona hakuna tatizo wasibebeshe mzigo huo watu wengine ila waseme tu kila mmoja hajafanya kile kinachotakiwa.