TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

wanafurahisha shetani!kiti anaumia!
 
Kuanzia Waziri wa Fedha
Uchukuzi
Washauri wa Raisi hawa wote wanatakiwa wajiondoe
Hawa watu wanafanya kazi kilingana na mood ya mkuu so hawawezi fanya kitu hata kama wanajua kinachoendelea hakiko sawa
 
Kwakweli huko tuendako hali ni tete wala siyo uongo. Nimesoma matangazo Mount Meru Hotel inauzwa na Snow Crest ipo kwenye process ya kupigwa mnada.

Halafu tunaambiwa uchumi unapanda
 
sasa naona ya habunuwasi nda haya.kipindi magufuli hayupo wizi bandalini hulikuwa mkubwa sio kukwepesha kodi yani yanaibiwa kama vibaka wanavo pora simu.hilo hakuna hata siku moja na maovu yote leo wanasema bandari hakuna mizigo.naamini siku zote muovu ukimpeleka kwenye haki hakosi sababu za kulalamika kwa vile unambana
 
Hahahaahaha mizigo ipo mingi tu ya kumwaga, ndio wanavyotaka kusikia tu hivyo. Kinyume na hapo Wewe utaitwa msaliti... Unamkwamisha Kiranja
 
Akili zingine full majanga...wakati wengine wakinyooshwa wewe utakuwa wapi....!! Huyo mkwere unaemtukuza kuna lipi la maana amefanya au nikuruhusu Watu kugawana Hela kwenye viROBA!
 
WATAPIGA PICHA NA BANDARI YAO..

OVA
 
tena kwa sifa kanunua ndege mbili cash.....sasa hizo ndege sijui watapanda kina nani.......hapa kuna dalili ya wafanyakazi wa umma kulazimishwa kupanda ndege....
 
Labda washauri wanaogopa kumwambia ukweli mfalme....

Tatizo TRA wenyewe wanatoza kodi kwa kuwakomoa wafanyabiashara.

Imefika wakati kufanya biashara Tanzania ni kama dhambi.!
Tatizo hao watu wa KODI wengi wao hawajawahi kufanya hata Biashara ya GENGE so wakia MTU anafanya Biashara tayari kwenye Akili zao inaCLICK kwamba jamaa tajiri
 
Hivi unajua mtu wa pili alipata kura ngapi???
 
hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
Acha upuuzi jifunze kusoma uzi wote
 
Kushauri mambo gani tena,na moja ya kazi ya wabunge si hiyo pia ya kuishauri serikali au wao kazi yao nini pale mjengoni Dodoma.
M/kit kamat amesema walipeleka mapendekezo yakakataliwa' hii nchi sasa n ya mtu mmoja tu analoamua yy ndo hilo hilo hata lisipokuwa na maslahi kwa taifa!
 
Mimi huwa mnaniudhi pale mnapodhani mnahujumiwa. Tena mnaniudhi zaidi pale mnapomuona kila mshauri wenu kuwa kapewa kitu kidogo. Akili hizo huwa ni vigumu kusonga mbele. Mwisho wake mtaanza kusema kuna watu wanaficha makontena. Hao wabunge ni watanzania na wanaijenga nchip kwa pamoja. Mtindo wa kumuona mtu mmoja ndo anaweza kufanya kila kitu, tutakuja kuangukia pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…