TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Inaonyesha wee niwa NCH jirani maana POVU ulizimwaga hapa sikawaida na hata Maneno ya kiswahili uliyotia naiyawale jamaa wanaoamini katika Bunduki nyie ndio mnamuharibu mtukufu wa tanganyika....
 
Reactions: Ame
Inaonyesha wee niwa NCH jirani maana POVU ulizimwaga hapa sikawaida na hata Maneno ya kiswahili uliyotia naiyawale jamaa wanaoamini katika Bunduki nyie ndio mnamuharibu mtukufu wa tanganyika....
We nadhani bado ni teenage...subiri ukikuwa utajua maisha haitaji seriousness kama yako...utakufa kwa strees relax life is so sweet!
 
We nadhani bado ni teenage...subiri ukikuwa utajua maisha haitaji seriousness kama yako...utakufa kwa strees relax life is so sweet!
Narudia tena nyie watu ndio mnamuharibu mtukufu wa Tanganyika
 
Hii nchi ni ya ajabu sana, ni Tanzania tu yanawezekana. Mwanzo wa wiki hii tumambiwa pamoja na kelele zote hali bandarini ni nzuri meli zinafurika na sekta ya utalii inashamiri watalii ni wa kumwaga. Nionacho mimi mimi wananchi tumekosa ujasiri wa kumwambia mfalme yupo uchi. Matokeo yake tunaendekeza unafiki na na kueleza uongo ili tusitumbuliwe. Sasa ninachokiona ni nchi kuelekea kusikojulikana.
 
serikali IPI ya kuishauri?hii ambayo imelidhibiti bunge bunge halina nafasi tena kuisimamia serikali,wao awamu hii wamejipanga kila kitu wanajua hata bandari ipokee contena mbili wao shwali tu au wadhani JPM anapokea ushauri kirahisi?niishie hapa nisije ambiwa mchochezi.
 
Au ndiyo sababu katibu wa wizara ya fedha kuenguliwa nn!
 
Watu wataalamu wamekaa kimya sijui kwanini
Hao wataalam wake wanaijua shipping and port management? wanafahamu logistics and transport? watu wanasoma kozi hizi hawatumiki wamekalia kuchukua watu wa fani zingine wakidhani watasaidia kwa mfano kujua uchumi tu bila kujua transport economy bado hutoweza kusaidia lazima ujue shipping cycles na market trends zake zinavyokwenda bila hvyo hivi vi feeder port vyetu huwezi vi manage endapo hub port kama ya Singapore na Shanghai zikiyumba
 
Uchumi unategemea zaidi kodi au uzalishaji ??
Uchumi wetu unategemea kodi za masikini,hatuna tunachozalisha zaidi ya matamko na vitisho,unacho panda ndicho unachovuna
 
Ifike wakati sasa Maritime bness ijitegemee badala ya kuwekwa kama ka component pale SUMATRA napendekeza ianzishwe Tanzania Maritime Authority humo wawepo manguli wa shipping bness sio kuleta wanasiasa bandarini
 
Poa tu CCM wanajua kila kitu Miaka yote tumekuwa tunaishi kwa ahadi tu, nadhani ndio tunachostahili
 
NAOMBA MUENDE KENYA HUEZI NUNUA KITU BILA YA VAT YAO YA 16% HATA UOMBE VP! WANAKWAMBIA! WE GOSH KRA WATANIMALIZA MEANS KENYA REVENUE AUTHORITY WATAMMALIZA,MOSTLY UKIENDA KWA DIFFERENT SUPPLIERS OF GOODS! TU WANAKUPA LIST NA KATIKA LIST KUNA COLUMS TATU/PRICE EXCLUSIVE VAT/PRICE INCLUSIVE VAT 16%/ THEN RECOMENDED RETAIL PRICE!
THEN WANAKWAMBIA JUST USE THE MIDDLE COLUMN ENYE INCLUSIVE VAT16%% CHA MSINGI MYBE UPEWE DISCOUNT OFFER WHEN U REACH CERTAIN AMOUNT YA 29/25% DISCOUNT OFFER NA HAPO AT THE END LAZMA UWEKEWE NA 16% VAT YA KRA NA LAZMA UPEWE ETR RECEIPT SAWA NA EFD RECEIPT! HATA UKIWAMBIA AM NOT GOING TO SELL THEM HERE WANAKWAMBIA WHICHEVER WAYS U MUST FOLLOW THE KRA PROCEDURES!

NA WAMEZOEA KOTE KENYA UP TO MOMBASA! AND WAKO PATRIOTIC XANA WAKENYA NA WANAOGOPA KENYA REVENUE AUTHORITY OFFICERS KAMA UKOMA

SAME APPLY TO RWANDA REVENUE AUTHORITY

SO WEATHER MIZIGO IPUNGUE DAR THEY MUST PAY VAT YA 18%% NO WAY OUT!!KAMA WAFANYIBIASHARA WADOGO WANALIPA DOMESTIC REVENUES WHY NOT THEM? DESPITE OF THE FACT THAT SOME GOODS ARE SMETIMES ON TRANSIT! THEY MUST PAY 18%% VAT THEN WHEN THEY REACH BORDER POINT KAMA KWELI WANAELEKEA TO THEIR RESPECTIVE DESTINATIONS IF SO IS TRUE THEN THEY CLAIM BACK THEIR 18% WANARUDISHIWA PESA ZAO
HAPA KAZI TU/ A NEW NATION IS REBORN! PROUDLY TZA
 
Jifunze kuandika ndo maana tukawa na capital and small letters, zina matumizi tofauti!
 
Nimependa mtazamo wako na ni wa kizalendo. Hoja zinatakiwa zizungumzwe hivi. Sio wale bendera fuata upepo wanaotaka kukwamisha maendeleo ya uchumi na serikali ya Magu eti ishindwe. Nashangaa sasa serikali ikishindwa si wananchi nao watakuwa wameshindwa.?? Sielewi mantiki hapa.watu wanakesha usiku na mchana kutaka kukwamisha maendeleo ya uchumi. Wwngine wakaanzisha sijui kukamata UKUTA. Bila kujua msingi wa maandamano. Upuuzi mtupu
 
Yesss watu tuzungumze kwa lugha kama hizi. Lugha za kizalendo na kujenga. Then tujenge hoja. Sio kukurupuka na mahasira ya kukosa urais unaanza kutukana tukana hovyo. Halafu sababu zinazotolewa za ajabu. Eti wanataka kukemea ukiukwaji wa demokrasia na udikteta. Sasa kama ni udikteta mbona huku chadema ndio umeota mizizi pamoja na vyama vingine. Kama demokrasia ndio hamna kabisaa. Ukihoji kitu tu unafukuzwa. Tukumbushana haya matukio mara kwa mara ili tusisahau. Zito Mwigamba Mkumbo Arfi na Wangwe na wengi wengine. Tusirubuniwe wajameni na vipesa pesa. Njaa zitatupeleka pabaya
 
Povu la nini jibu kwanza swali
Kamishna ma Mamlaka ya mapato nchini TRA amesema wameweza kukusanya trilion 1.158 kwa mwezi August na hivyo kuvuka lengo la kukusanya trilion 1.152 wakati akiongea na wandishi wa habari leo
 
Kuna haja ya kuwafahsmu wanaomshauri rais.
Tazama yanayoendelea bandarini
Tazama yanayoendelea katika hotuba zake.
Tazama yanayoendelea bungeni
Tazama yansyoendelea kuhamia Dodoma

na mengine mengi sn.


wananchi tunahaki kuwajua washauri wa raisi
Sio wanaomshauri... anaemshauri
 
Nimewahi soma sehemu na kama ni kweli basi kuna haja ya kuliangalia upya hili la VAT iliyo wekwa kwenye huduma ndogo ndogo pale dandarin ukiacha clearance fees.

Kuwekwa VAT kwenye gharama za huduma kama kupakia, kupakua, utunzaji mzigo nk imeongeza gharama hizo. Wafanya biashara huangalia unafuu wa running costs ili kutengeneza faida.
Akiona unafuu kwingine atahamia huko for sure.

TRA na serikali waangalie hilo kumbuka it is from the point walipo impose hiyo VAT mizigo ikaanza kupungua.

Kuna VAT zimewekwa kwenye huduma nyingi mfano ni ile ya miamara ya sm na mabenki. Huko hatujaona madhara sana kwa vile hakuna altenatives labda ufiche hela ndani . Madhara
yalionekana pia kwenye sekta ya utalii.
 
pumba tupu bidhaa gani ambazo huwezi kutaja watu wa kitengo achene kurudisha nyuma nchi
 
Sijui ni mara ngapi wadau mbalimbali wamesema kwamba haya mambo ya kubandika kodi za bandarini kama VAT kwenye transit goods yanakimbiza wateja toka bandari ya Dar. Kwa kusikitisha sana, serikali yetu ikawa kila ikiambiwa hivyo inakuwa kama tunampigia mbuzi gitaa. Sasa serikali imekiri kwamba mizigo katika Bandari yetu imepungua kwa asilimia 42. Sasa serikali inapanga mikakati kwenda kuwabembeleza watumiaj wa bandari ya Dar warudi.

Sasa ujumbe kwa serikali ni kwamba, ubishi hautatupeleka mbali, ni muhimu sana kuwasikiliza wadau badala ya kujifanya ukiwa kigogo basi unajua kila kitu na wengine wote wanaongea pumba.

Sasa bado suala la kuongeza VAT kwenye mambo ya utalii, na mengineyo.

See: IPPMedia
Govt caves in, admits to 42 pc business slump at Dar port
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…