TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

Muyovozi punguza upotoshaji, Capacity ya bandari ya Dar ni kubwa kuliko ya Mombasa, na mara nyingi tuu tunafanya biashara kubwa kuliko Mombasa.

Kitu ambacho kwa sasa wao ni bora kuliko sisi ni vitendea kazi, hasa baada ya kuibinafsisha bandari yetu kwa TICS.

Kwa uwekezejaji uliofanywa na mwendazake na unofanywa sasa hivi wa vitendea kazi. Tutaizidi bandari ya Mombasa by 27%.

Try to be up to date.
 
Zitakuwa zinaenda wapi kutokea huko Tanga

Nani asiyejua miradi ya nchi hii na hao wanaoongea kufurahisha nafsi zao?
 
Ndio maana hata Kenya volume ya mzigo wa ndani ni kama 2/3 ya mzigo wote unaopita mombasa Port
 
Yale yale ya kuambiwa gesi yetu ya Mtwara ikikamilika umeme utakuwa bwerere huku tukiwa matajiri maana mwengine tutauza nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuwa mbumbavu kuwaamini hao maccm
 
Upanuzi wa bandari peke yake hauwezi kuongeza mizigo.... There is a lot more than that...!!
 
Huu Upanuzi ni wa miaka mingapi? Kimsingi hakukuwa na haja kwa Transit za kwenda kaskazini kufanyikia Dar! Watu wangekuwa wanafanyia Clearance zao Tanga Port wanaenda Moshi-Arusha (Tarakea-Namanga) borders bila kuja Dar es Salaam!
Ishu sio ukaribu ishu ni facilities na huduma

Mizigo ya Kaskazini inapitia Mombasa
 
Acha porojo wewe mbususu wewe data
 
Mh Simbachawene, aje atufafanulie hili nadhani alilisema yeye.
Ngoja nimsaidie Simbachawene katika hili!!

Watu wanaposikia gesi ya Mtwara huwa wanachanganya madesa! Kwa kifupi, Lindi na Mtwara kuna gesi za aina 2! Aina ya kwanza ni ile iliyogundulika miaka ya themanini na aina ya pili ni ile iliyogundulika kwa kiasi kikubwa miaka ya 2010's!

Ile ya miaka ya 80 ni pamoja na Gesi ya Songosongo, mkoani Lindi na Msimbati, mkoani Mtwara!! Gesi hii ndo ile inayozalisha umeme Ubungo na Kinyerezi, na haipo nyingi kihivyo!

Kwa mfano, ile ya Msimbati ilikuwa inazalisha umeme kule kule kusini lakini kwavile mikoa hiyo ina uchumi mdogo sana, wakashindwa ku-fully utilize umeme uliokuwa unazalishwa! Hapo ndipo ilipokuja idea ya bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar ili gesi hiyo ije kuzalisha umeme Kinyerezi na kuingizwa kwenye grid ya taifa!

Both, gesi ya Songosongo na Msimbati sio nyingi kihivyo! Na hao akina Simbachawene wanapozungumzia utajiri wa gesi hawazungumzii hiyo ya Msimbati na Songosongo bali wanazungumzia 57 trillion cubic feet ambazo zilianza kugunduliwa zaidi from 2010's!

Ni hizo 57 cubic feet ambazo zipo deep sea, ndizo zilitaka kuzaa ile gas processing plant ya USD 30 Billion kule Lindi!!

Kwavile ni gesi nyingi sana, hiyo ndiyo ingesafirishwa! Kwenye ile thread yangu ya Bandari ya Bagamoyo nimezungumzia kwanini iwe B'moyo na sio Mtwara! Mtwara port ilikuwa reserved ili ku-handle gas tankers and any possible oild tankers endapo tutakuja kugundua mafuta!!

Gasi hiyo bado haijaanza kuchimbwa!!!
 
Ni ndoto ya mchana kweupe kuilinganisha bandari ya Tanga na Bandari ya Mombasa.

Mombasa wapo mbali sana na Bandari ya Tanga na hautatokea Tanga kuipata Mombasa port.
Asili yenu kujidharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…