Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Muyovozi punguza upotoshaji, Capacity ya bandari ya Dar ni kubwa kuliko ya Mombasa, na mara nyingi tuu tunafanya biashara kubwa kuliko Mombasa.Unajua uwezo wa bandari ya Mombasa wewe, au unaandika tu ? Mwaka jana Mombasa ilipokea tani milioni 35. Bandari yetu ya dar kubwa kuliko zote nchini ilipokea tani milioni 17 tu. Kwa hiyo hata iwe imekamilkia ya Tanga , bandari ya dar na Tanga hazikaribii mizigo inayopokewa na Mombasa. Uzalendo maana yake sio kutuandikia uongo ndugu yangu. Nenda google upata ukweli. Na Kenya wakijenga bandari ya Malindi , ni basi tena hatuwapati
tena kea capacity ya kupokea mizigo.
Kitu ambacho kwa sasa wao ni bora kuliko sisi ni vitendea kazi, hasa baada ya kuibinafsisha bandari yetu kwa TICS.
Kwa uwekezejaji uliofanywa na mwendazake na unofanywa sasa hivi wa vitendea kazi. Tutaizidi bandari ya Mombasa by 27%.
Try to be up to date.