The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Huwaonagi mahakamani? Hata hivyo ,hii ni ishu ya biashara ,hatuna wanasheria mahiri kwenye majadiliano ndio maana hata baba Mikataba hakuna cha maana alileta kwenye makinikia licha ya taarifa ya profesa kusema tumeibiwa Sana na Mwendazake kujigamba weeee.Duuh kwahiyo wanasheria wa Tanzania ni vilaza kwenye issues za sheria za mafuta ??
Anyways.....
Head wa Legal kasoma Masters UK...
JPM ndio nani? Zingefanyika bila shaka LPG ya Lindi ingeshaanza.
Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi...
Hawa wasiojua waambie waangalie profile ya kampuni kwanza na si wapige makelele kama wanataka kuzaa Baker BottsHuwaonagi mahakamani? Hata hivyo ,hii ni ishu ya biashara ,hatuna wanasheria mahiri kwenye majadiliano ndio maana hata baba Mikataba hakuna cha maana alileta kwenye makinikia licha ya taarifa ya profesa kusema tumeibiwa Sana na Mwendazake kujigamba weeee.
Angalia profile ya kampuni husika na usifananishe na ile SACCOS yenu:Baker BottsMuda utasema.
Hivi anaejenga LNG kule kusini ni nan? Mfaransa au Muingereza? Unafikiri Mashirika kama hayo ndani ya nchi kwanini Serikali zao ziko tayari kuwasaidia ili wapate kazi nje? Kwao wanarudisha nn haswa unadhani?Mambo ya nchi hii magumu sana ndio maana vijana wanaona isiwe tabu wanajipozea zao mbususu na liquors. Mbaya zaidi hizi mikataba zinafanya siri. Kwanini jambo lenye public interest lisiwe accessible? Nchi hii kupata takwimu tu vya vifo vya wajawazito kwa mtu wa kawaida ni ishu. Shenzi kabisa.
Unaijua kampuni ya Kitanzania hata moja yenye weledi wa mambo ya majadiliano ya kibiashara kwenye masuala ya miradi ya matilioni kama hiyo ya gas?Baker Botts - A Global Law Firm
Baker Botts LLP is an international law firm with approximately 700 lawyers practicing throughout a network of offices around the globe.www.bakerbotts.com
Anaefaa ni mama yako na uko wenuMakamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Kwani hatuwezi kufanya kwa kiswahili? tunatofauti gani na mangungo kusaini mkataba wa kijerumani?Kila siku tuna waambia ng’eng’e ndiyo ufunguo wa kila kitu, unaingia kwenye ‘negotiation’ wakati ng’eng’e cheche lazima upigwe tuu, afadhari TPDC wamevunja ukimya!!
Haipo na haitaka iwepo labda baada ya miaka 200,tafadhali soma profile ya hiyo kampuni ndio itajua maana ya kinachotakiwa na nchi.Unaijua kampuni ya Kitanzania hata moja yenye weledi wa mambo ya majadiliano ya kibiashara kwenye masuala ya miradi ya matilioni kama hiyo ya gas?
..mkiambiwa mjifunze KIINGEREZA hamtaki.
..sasa subirini muone WAKENYA ktk hiyo kampuni.
https://www.bakerbotts.com/,jaribu kulinganisha na local firm ndio utuletee majibu hapaHakuna Local Firm inayoweza Kufanya hio kazi??
Profile ndio kitu gani?Hawa wasiojua waambie waangalie profile ya kampuni kwanza na si wapige makelele kama wanataka kuzaa Baker Botts
Hivi ni law firm ipi hapa Africa ilishawahi kufanya mazungumzo ya mradi wa trilion themanini ?Kila siku tuna waambia ng’eng’e ndiyo ufunguo wa kila kitu, unaingia kwenye ‘negotiation’ wakati ng’eng’e cheche lazima upigwe tuu, afadhari TPDC wamevunja ukimya!!
Nadhani hujuia hata maana ya mradi wenyewe walai,jaribu kuwa serious kidogo na sio kupiga kelele kama mbuzi anaetaka kuzaaProfile ndio kitu gani?
Tunaongelea vitu vya msingi hapa wewe unaleta ushambenga.
Profile yao iwe kubwa ama ndogo inatuhusu nini sisi Watanzania?
Hii mada huiwezi, kajadiliane huko Instagram na kila Shilole.