Nadhani hata hujui maana ya Transaction Advisor ndio maana umeamua kupiga kelele tuProfile ndio kitu gani?
Tunaongelea vitu vya msingi hapa wewe unaleta ushambenga.
Profile yao iwe kubwa ama ndogo inatuhusu nini sisi Watanzania?
Hii mada huiwezi, kajadiliane huko Instagram na kila Shilole.
Ni ushauri, ushauri una upokea au una ukataa. Kesi ni maamuzi sio ushauriKesi ya nyani unampelekea Tumbili.
Jamani tuache ulimbukeni wa kuona kila tunachofanya na kampuni za nje tunapigwa. Haya mambo ya onshore LNG au Offshore LNG bado hatuna uzoefu wa kutosha.Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi....
Wewe huna unachokijua mimi sikijui, huna.Nadhani hata hujui maana ya Transaction Advisor ndio maana umeamua kupiga kelele tu
Sasa kama ushauri unaweza ukataa kwanini utumie fedha kwa jambo ambalo utakuja kulikataa??Ni ushauri, ushauri una upokea au una ukataa. Kesi ni maamuzi sio ushauri
Nipe wasifa wa mwanasheria mmoja tu hapa nchini ambae anasifa ya kuwa kuitwa Commercial lawyer?Brother hivi unaelewa kweli wanachosema wenzio?
Mungu akupe macho ya rohoni uone wanachokiona wenzio...
Nani anapiga umbea zaid yako unaepingabkitu ambacho hata hujui zaidi ya kukurupuka tuWewe huna unachokijua mimi sikijui, huna.
Ndio maana nimekushauri kajadiliane na wenzako kina Shilole kule insta mkapige umbea.
Mkuu kiswahili tumieni kwenye makongamano tu .Tatizo ni English? Mkuu Ina maana hayo mazungumzo hayawezi kuwa kwa kiswahili?
Ndio dunia ilivo, sasa kitu hukijui ufanyaje? Kwahiyo ufanye maamuzi tu kwa kitu usicho kijua?. Kwanini ulienda shule wakati una mamlaka ya kufanya maamuzi yako? Kwa nini ulilipa kupata elimu?Kila binadamu ana mapungufu yake na mema yake . Kwa kutetea rasilimali za umma kwa manufaa ya umma wa watanzania hayati JPM alikuwa mstari wa mbele....
Cc MakupaMakamba ni mwizi kibaka mkuu
Sasa sijaelewa hapa, maana hii kampuni ya wingereza ndio mshauri wa Tanzania wa mikataba ya Gesi na Mafuta wakati wabia wetu ni hao hao nchi za kibeberu, British Gas, Shell etc.Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi...
Endelea kupiga kelele tu ,tuwekee uwizi wake hapo na si kupiga tu makelele kama unataka kuzaa
Mkuu wenzetu kuna professionalism ya ukweli kwa kuwa tu wametoka nchi mmoja ndio useme kuna conflict of interest?Sasa sijaelewa hapa, maana hii kampuni ya wingereza ndio mshauri wa Tanzania wa mikataba ya Gesi na Mafuta wakati wabia wetu ni hao hao nchi za kibeberu, British Gas, Shell etc.kutakuwa na ushauri wa dhati kweli wakati mshauri ana conflict of interest, hata kama amedeclare kwenye makaratasi kuwa hana? inafikirisha
Haiwezekani Taifa la watu 60 million likakosa mtaalam wa maswala ya oil and gas.Ndio dunia ilivo, sasa kitu hukijui ufanyaje? Kwahiyo ufanye maamuzi tu kwa kitu usicho kijua?. Kwanini ulienda shule wakati una mamlaka ya kufanya maamuzi yako? Kwa nini ulilipa kupata elimu?
Tuwekeee ubaya wa Makamba hapa ,vinginevyo unapiga tu kelele zinazotokana na ushambabna uwivu pia (shame)Makamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Mkuu nadhani hujaelewa scope ya kazi yenyewe ,unadhani TPDC wangetangazi kazi husika kama wangekuwa na uwezo nayo ?Haiwezekani Taifa la watu 60 million likakosa mtaalam wa maswala ya oil and gas.
Kuna taasisi inaitwa PURA kwanini wasitumie wataalam toka huko.
TPDC yenyewe inawataalam wa sheria waliosoma UK maswala hayo hayo ya oil and gas.
Kwanini wasiwatumie??
Kuchezea fedha zetu bure.
Hiyo mikataba ya huko nyuma tulionyonywa haikuwa na proffessionalism?.kwenye suala la kuloot rasilimali nchi za kibeberu zipo pamoja sana.Ndio maana Mwendazake alipofanya reforms kwenye milki na uendeshaji wa haya makampuni eg.madini alipigwa vita mpaka kususiwa misaada.Mkuu wenzetu kuna professionalism ya ukweli kwa kuwa tu wametoka nchi mmoja ndio useme kuna conflict of interest?
TPDC inadeal na maswala gani??Mkuu nadhani hujaelewa scope ya kazi yenyewe ,unadhani TPDC wangetangazi kazi husika kama wangekuwa na uwezo nayo ?
Si tetei ila tr 70 ni hela nyingi sana ku gamble, hao ulio wataja wana uzoefu wa maswala ya gas kiasi gani. Hao tpdc zaidi ya kununua crude oil wana jua vipi uchimbaji na usindikaji wa gas?Haiwezekani Taifa la watu 60 million likakosa mtaalam wa maswala ya oil and gas.
Kuna taasisi inaitwa PURA kwanini wasitumie wataalam toka huko.
TPDC yenyewe inawataalam wa sheria waliosoma UK maswala hayo hayo ya oil and gas.
Kwanini wasiwatumie??
Kuchezea fedha zetu bure.
Tuna taasisi inayoitwa PURA ambayo majukumu yake ni kuishauri serikali na waziri katika mambo kama haya.Si tetei ila tr 70 ni hela nyingi sana ku gamble, hao ulio wataja wana uzoefu wa maswala ya gas kiasi gani. Hao tpdc zaidi ya kununua crude oil wana jua vipi uchimbaji na usindikaji wa gas?