TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Miaka yote hiyo tangu wafanye exploration na uchimbaji wa gesi kule mtwara hawakum engage consultant.............au ndo ile kila anayeingia anatafuta upenyo wa kupiga, aka. kujipimia kwa urefu wa kamba............
 
Miaka yote hiyo tangu wafanye exploration na uchimbaji wa gesi kule mtwara hawakum engage consultant.............au ndo ile kila anayeingia anatafuta upenyo wa kupiga, aka. kujipimia kwa urefu wa kamba............
Hakika usililijua ni usiku wa GIZA
 
Hiyo mikataba ya huko nyuma tulionyonywa haikuwa na proffessionalism?.kwenye suala la kuloot rasilimali nchi za kibeberu zipo pamoja sana.Ndio maana Mwendazake alipofanya reforms kwenye milki na uendeshaji wa haya makampuni eg.madini alipigwa vita mpaka kususiwa misaada.Nl
Kumbe tenda ni open halafu ya enzi ya JPM
View attachment 2096006
kuna wapuuzi wengi mnoo hapa jamii forum
 

Tanzania Hires U.S. Law Firm to Advise on $30 Billion LNG Plan​

  • Baker Botts to assist nation to conclude LNG project talks
  • Plans for terminal have been under consideration since 2014
By
Fumbuka Ng'Wanakilala
January 25, 2022, 7:41 PM GMT+3



Tanzania has selected U.S. law firm Baker Botts LLP as an adviser to help conclude talks with international oil companies over a long-delayed $30 billion liquefied natural gas terminal.
The nation wants to sign a Host Government Agreement with oil majors, including Equinor ASA and Shell Plc by April, Energy Minister January Makamba said. The move will give further impetus to the LNG project that’s been under consideration since 2014 and gained momentum after President Samia Suluhu Hassan took office in March.
The accord will outline the commercial, legal and technical aspects of the project, Makamba said in the northern Tanzanian city of Arusha.
The project involves building a two-train onshore LNG plant to tap into huge offshore natural gas discoveries south of the East African nation.

The deal between Baker Botts’s London office and the Tanzania Petroleum Development Corp. was signed Tuesday, Makamba said.
https://sponsored.bloomberg.com/art...for-creating-a-better-world-through-education


Tanzania and neighboring Mozambique are racing to develop their offshore gas fields and to export to markets in Asia and elsewhere.
Mozambique’s own multibillion gas project hit a snag last year after TotalEnergies SE suspended work due to insurgent attacks.
 
Kampuni yenyewe inayo tuwakilisha imesajiliwa as a ‘Limited Liabilty Partnership’ (LLP) hilo tu tayari linapunguza Investor’s confidence.

Kwa wale wasiofahamu LLP kwa utaratibu wao wa kaz kama kuna makosa kwenye kazi yao uwezi kuwashitaki for negligence.

Sasa mtu kama huyu ambae ajiamini unaweza kutaka akusimamie kweli wakati keshasema kama alikosea kwenye kukusimamia uwezi mshitaki.

Isitoshe anatusimimamia kwenye nini kwenye negations ambacho wataalamu wetu awajui (naelewa waziri anaweza asijue) ndio maana wengine tunashtuka kuona mtu kama Makamba anaongoza majadiliano na kuweka altimutum yaishe within a given time.

Bear in mind one of the simplest area of negotiations kwenye hiyo mikataba ni environment and that is decided on assessment cost.

Nina uhakika January mpenda mazingira kwa wajibu waje awezi piga hizo hesabu rahisi katika hesabu za mkataba kila mwaka mwekezaji agharamie kiasi gani throughout the project ukimpa area and its biodiversity.

Let alone aelewe the complexity za PSA which involves $30 billion dollars; yaani ukimuangalia confidence yake na ujinga anaotema; unalionea huruma taifa if that’s the best we have produced.

Hayo mambo waziri awaachie negotiators aliowakuta, somethings tells me they know what their doing wanasiasa ndio wanataka kuharibu kazi yao.
 
Makamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Basi tumpe mumeo hiyo wizara dada!
 
Naweza nisieleweke kwa haraka, lakini nchi hii inaenda kua 'a failed state' kama hatutapata mfumo mpya wa kuendesha nchi kwa uwazi, uzalendo, maarifa na juhudi. Watu wanatengeneza pesa kwa ajili ya chaguzi zijazo, hakuna anayeumia watu kulala giza, mifumo mibovu ya elimu, miundombinu hafifu nk

Tumekaa kujadili siasa za vyama na watu, kubishana kuhusu soka, uchawi na 'connection' bila mawazo mapya, mfumo mpya basi kwa miaka 10 ijayo nchi hii inaweza kua imefeli vibaya mno, na kwa wakati huo tutakua tunaongelea nchi yenye population ya watu 80+ millions
 
Brother hivi unaelewa kweli wanachosema wenzio?
Mungu akupe macho ya rohoni uone wanachokiona wenzio
Hii nchi kweli haina wanasheria wanaoweza kuifanya kazi hii kwa weledi kabisa kabisa mpaka tuwape hao ....?
Tunao wanasheria wazuri kabisa wameajiliwa serikalini na kwenye mashirika ya umma ni kweli hawawezi kuifanya hii kazi kwa mishahara ya kila siku mpaka tuwape madola hawa ?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Niacheni nilie mie

Mkuu samahani nami naomba MUNGU anifungulie ulichokiona wewe...
Ila Kwa sasa hivi naona Tanzania hamna wanasheria wa “Mafuta na Gesi” unajua sheria zinatofautina...Sheria ya Mafuta na Gesi na Mikataba Watanzania wangapi wanaijua hii?
Au unafikiri ni sawa tuu na Administrative lawa,Law of contract,Criminal law etc?
Anyway sijui hata mimi Nahitaji kufunguliwa Mkuu...
Ila Naona Kama Hatuna Uzoefu kwenye hilo Eneo? Anyway sababu sijui huwa niko Positive kufahamishwa na Kuchukua ushauri nielimike..
Kama Nitakuwa nakosea MUNGU anisamehe kwa kutokujua...
All in all Kama kuna Mtu anajua angekuja hapa kufafanua kwa kina tuelimike.Sababu wenzetu wameanza zamani Kuvuna rasilimali hizo,
Ni Kama vile anavyofaidi Botswana na Madini nadhani Tulienda kujifunza Kwake,
Sababu Madini tumeamza Early 2000.
Sasa Gesi si tumewnza juzi tuu?
Anyway hapa jamvini wengi tunajifunza hapa hapa Mkuu[emoji120]
 
Local firm gani ina uzoefu na mikataba ya Gesi?

Vitu vingine ni bora kutafuta msaada kuliko kuleta ubish halafu tuangukie pua. Hawa kina Rex Attorneys na Mkono Advocates walikuwa wanaiwakilisha TANESCO na kila siku walikuwa wanakula knock out kwenye kesi.

Cc:
MWANAKA
 
nionvyo mimi imekuwa hivyo kwa sababu hatuna watalaam/negotiator wazuri kwenye nyanja ya mafuta na gersi,hatukusomesha wataalamu wengi kwenye hiyo fani pia sheria zetu nadhani hazikuzumzia vizuri hiyo sekta hivyo ni wachache sana hasa kwenye sheria waliojifunza hayo.

Nakumbuka watalamu wa gesi na mafuta wameanza kufundishwa UDSM miaka ya hivi karibuni achana na wanasheria wa kisekta. mradi wetu wa gesi ni mkubwa bila kuwa na wabobezi katika fani hiyo ni kuangukia pua, kuna malobysit wataalam kwelikweli huko kwa wenzetu ukicheza kidogo tu wanakuingiza chaka. naamini tpdc hawajafanya kosa sana ila wawe makini tu
 
Mkataba ulio sainiwa tafadhali wa kumshauri dhidi ya Gesi tuwekee hapa,pia tuwekee procedure ulizopita mpaka unaipata hiyo kampuni zilikuwa ngapi taasisi zilizo kubed tender?je tender ilibediwa lini?je kampuni zilizo bed ni ngapi? Ni kwa tangazo gani la lilipitia wapi?

Je bod of tendering iliuzuliwa na nani na nani?tuna taarifa umepiga mpunga mwanakwetu utautapika.
 
Back
Top Bottom