Huyo bosi wake yeye anafaa kwa lipi! Na hili jeshi letu la ulinzi sijui linalinda nini!Makamba hafai kwa lolote serikalini,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bosi wake yeye anafaa kwa lipi! Na hili jeshi letu la ulinzi sijui linalinda nini!Makamba hafai kwa lolote serikalini,
Linamlimda mama yako na uko wako woteHuyo bosi wake yeye anafaa kwa lipi! Na hili jeshi letu la ulinzi sijui linalinda nini!
Hakika usililijua ni usiku wa GIZAMiaka yote hiyo tangu wafanye exploration na uchimbaji wa gesi kule mtwara hawakum engage consultant.............au ndo ile kila anayeingia anatafuta upenyo wa kupiga, aka. kujipimia kwa urefu wa kamba............
Hiyo mikataba ya huko nyuma tulionyonywa haikuwa na proffessionalism?.kwenye suala la kuloot rasilimali nchi za kibeberu zipo pamoja sana.Ndio maana Mwendazake alipofanya reforms kwenye milki na uendeshaji wa haya makampuni eg.madini alipigwa vita mpaka kususiwa misaada.Nl
kuna wapuuzi wengi mnoo hapa jamii forumKumbe tenda ni open halafu ya enzi ya JPM
View attachment 2096006
Mama yako labda.Linamlimda mama yako na uko wako wote
Hivi mama yako anakuhesabu kama mtoto ?ndhani wewe ni mjinga kuliko kukuMama yako labda.
Mama yako ananihesabu kama mmoja wa hawara zake. Anao wengi. Do you even know that?!Hivi mama yako anakuhesabu kama mtoto ?ndhani wewe ni mjinga kuliko kuku
Basi tumpe mumeo hiyo wizara dada!Makamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Wewe ni kilaza, si kilatha.Kampuni yenyewe inayo tuwakilisha imesajiliwa as a ‘Limited Liabilty Partnership’ (LLP) hilo tu tayari linapunguza Investor’s confidence.
Unajuwa mantiki ya kampuni kujisajili as an LLP given the business context.Wewe ni kilaza, si kilatha.
Sababu tu wachanga kwenye eneo hilo.Labda ushauri wao wa kisheria ni nafuu sana
Brother hivi unaelewa kweli wanachosema wenzio?
Mungu akupe macho ya rohoni uone wanachokiona wenzio
Hii nchi kweli haina wanasheria wanaoweza kuifanya kazi hii kwa weledi kabisa kabisa mpaka tuwape hao ....?
Tunao wanasheria wazuri kabisa wameajiliwa serikalini na kwenye mashirika ya umma ni kweli hawawezi kuifanya hii kazi kwa mishahara ya kila siku mpaka tuwape madola hawa ?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Niacheni nilie mie
Local firm gani ina uzoefu na mikataba ya Gesi?
Vitu vingine ni bora kutafuta msaada kuliko kuleta ubish halafu tuangukie pua. Hawa kina Rex Attorneys na Mkono Advocates walikuwa wanaiwakilisha TANESCO na kila siku walikuwa wanakula knock out kwenye kesi.