TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Kuna Dereva alienda kufanya usaili nafasi ilikuepo moja tu.

Na hakupata nafasi

Ila baadae aliitwa pale wizara ya mambo ya nje na sasa yupo Serikali kuu Kama dereva ,posho, kibao

Hakuwa na connection yoyote Ila the guy now he made it .

So mambo ya connection yapo Ila we need to live in limitless world and the world of possibilities.
 
Umeadimika Sana mkuu.
 
Usaili alifanya kupitia Utumishi ?
 
Huyo kapigiwa assist katika namna ambayo yeye mwenyewe hajui ni nani aliempigia hio assist mpaka leo kwa hio usiseme katoboa mwenyewe kuna mtu kampitishia connection ndio akaingizwa na hamjui huyo mtu mpaka leo
 
Hi
 
Naomba kujua kwa nini wanahitaji TIN number mwenye ile portal yao ya ajira. Ina maana kama sina na imewekwa redstar ina maana sitoweza ku apply?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…