FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni utaahira kulipa mikopo na riba trillion 10 halafu unakopa tena trillion 10 hiyo hiyo uliyolipa, ili uje uilipe na riba tena, kuna nati zimelegea vichwani mwetu, hii sio kawaidaKamwe Nchi haiwezi na haitakaa iache Kukopa kwa hoja za kijinga..
Kukopa mikopo ya riba nafuu ni bora kuliko kudunduliza vinginevyo mahitaji ya urgent na ya haraka yatakwama..
Pia mikopo ni kwa ajili ya ku sevu dharura in case zinatokea huwezi subiria vimakusanyo vya TRA ,utafeli vibaya.
Nyie layman wa uchumi fanyeni ku stick kwenye fani mnazozielewa,economics achaneni nayo kabisa mnajiaibisha.
Njoo CCMNimecheka kwa nguvu kinoma. Shikilia hapohapo, sisi tuko hapa kuwapeleka mchakamchaka ili msichukue posho za bure huko kwenye praise team. Mwambie mama Tindo wa jf anamsalimia.
Wewe unapingana na kauli ya Mh. Rais??No, US$ 6,253M
Una amini imepikwa kwanini usiamini japo kidogoNingeshangaa kama usingetokea kwenye hii data ya kupika ili kuhadaa umma. Magu alipandikiza sana hii tabia ya kupika data, na itachukua muda sana kuondoka.
Hiki ni kichekesho na sound mpya mjini... Wafanyabiashara ni sisi sisi ujue, watu wanajua kinachoendele, labda useme huko bandarini na kwenye vyanzo vingine ila kwenye ishu ya efd uvujaji ni mkubwa sana! Suala la kulipa kodi kkwa hiari linawezekana kwa wachache sana yani achaneni na hii soundOngezeko linaweza linatokana na watu kulipa Kodi kwa hiari
Njoo CCM
Una amini imepikwa kwanini usiamini japo kidogo
Wewe layman lazima uone ni utaahira kadiri ya akili yako ya kitaahira..Ni utaahira kulipa mikopo na riba trillion 10 halafu unakopa tena trillion 10 hiyo hiyo uliyolipa, ili uje uilipe na riba tena, kuna nati zimelegea vichwani mwetu, hii sio kawaida
Kama wewe ni mfanyabiashara unawekewa lengo na lazima kwa mwezi utumie efd kwa sababu unasoma TRA ,so utaweza kukwepa tuu kwa kudanganya turnover ila lazima ulipe na kila mwaka makadirio ni mapya.Ko hapo unalipa kwa hiari.Hiki ni kichekesho na sound mpya mjini... Wafanyabiashara ni sisi sisi ujue, watu wanajua kinachoendele, labda useme huko bandarini na kwenye vyanzo vingine ila kwenye ishu ya efd uvujaji ni mkubwa sana! Suala la kulipa kodi kkwa hiari linawezekana kwa wachache sana yani achaneni na hii sound
Sijamuita Rais kuwa ni mbumbumbu bali amejiita mwenyewe kuwa ni mbumbumbu kwa kudai kuwa Tanzania ina fedha za kigeni Tanzania shillings 14,000 trillion(USD 6253 billion)Wewe huoni kama hiyo ni demokrasia mpaka unamuita Rais mbumbumbu..
Kwa makusanyo hayo sasa kwanin serikal ina kopa pesa za kujenga madarasa na vyooTRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Kama no hivyo wasinge zidi kukopa Yan Una lipa deni na Una kopa tena?Makusanyo yanaenda kulipa madeni ya Bwana yule aliyokopa Commercial Banks
Hata JPM alikuwa ana tabia ya KUPIGA KONA, NA KWENDA MBIO GOLINI KWA ADUI, NA KUFUNGA GOLI MWENYEWE!TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Hawawezi kufaulu kumlinda chief Hagaya kwa takwimu za mchongo!ππππππππππ
Unafikiri kwa nini leo wameamua kutoa huo waraka?!
Jiongeze.
Tuna lipa na kukopa tenaInamaana hujui kuwa tunalipa madeni ya nyuma au unajusahaulisha makusdi. Unavyosikia tunadaiwa trillion 70 hujui kwamba tunaendelea kulipa
Ndio utaratibu ulivyo mkuu miaka yote tangu uhuruKama no hivyo wasinge zidi kukopa Yan Una lipa deni na Una kopa tena?