TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Kamwe Nchi haiwezi na haitakaa iache Kukopa kwa hoja za kijinga..

Kukopa mikopo ya riba nafuu ni bora kuliko kudunduliza vinginevyo mahitaji ya urgent na ya haraka yatakwama..

Pia mikopo ni kwa ajili ya ku sevu dharura in case zinatokea huwezi subiria vimakusanyo vya TRA ,utafeli vibaya.

Nyie layman wa uchumi fanyeni ku stick kwenye fani mnazozielewa,economics achaneni nayo kabisa mnajiaibisha.
Ni utaahira kulipa mikopo na riba trillion 10 halafu unakopa tena trillion 10 hiyo hiyo uliyolipa, ili uje uilipe na riba tena, kuna nati zimelegea vichwani mwetu, hii sio kawaida
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma. Shikilia hapohapo, sisi tuko hapa kuwapeleka mchakamchaka ili msichukue posho za bure huko kwenye praise team. Mwambie mama Tindo wa jf anamsalimia.
Njoo CCM
 
Kuna tabia ya Kijinga sana Nchi hii imeanza kuzoeleka. Badala ya kuwasifia Walipakodi anasifiwa Rais. Rais asifiwe kwa kusimamia vyema hayo makusanyo ili fedha zitumike ipasavyo hasa kuyabana Majizi hasa huko kwenye Halmashauri
 
Ningeshangaa kama usingetokea kwenye hii data ya kupika ili kuhadaa umma. Magu alipandikiza sana hii tabia ya kupika data, na itachukua muda sana kuondoka.
Una amini imepikwa kwanini usiamini japo kidogo
 
Ongezeko linaweza linatokana na watu kulipa Kodi kwa hiari
Hiki ni kichekesho na sound mpya mjini... Wafanyabiashara ni sisi sisi ujue, watu wanajua kinachoendele, labda useme huko bandarini na kwenye vyanzo vingine ila kwenye ishu ya efd uvujaji ni mkubwa sana! Suala la kulipa kodi kkwa hiari linawezekana kwa wachache sana yani achaneni na hii sound
 
Ni utaahira kulipa mikopo na riba trillion 10 halafu unakopa tena trillion 10 hiyo hiyo uliyolipa, ili uje uilipe na riba tena, kuna nati zimelegea vichwani mwetu, hii sio kawaida
Wewe layman lazima uone ni utaahira kadiri ya akili yako ya kitaahira..

Na Kwa taarifa yako kuna kipindi zilikopwa til.8 zikalipwa 5 na wakati mwingine zikakipwa til.6 zikakipwa til.9..

Narudia tena wewe ni layman wa uchumi,stick kwenye fani unayoiweza huku kuko nje ya uwezo wako..

Kwamba bajeti ya Tzn ni til.36 tusikope Ili tubakiwe na til.25 tukilipa na deni ibaki til .17 ,utaendesha Nchi kwa pesa hiyo?

Pili ukikopa unafanya sasa na ukifanya sasa unaanza kupata faida ambayo sehemu ya hiyo faida unalipa mkopo.

Mwisho ukikopa unastabilize your currency kwa mfano umekopea sgr til.3 lakini sgr itamalizika baada ya miaka 3 so unalipa kwa kadiri ya utekelezaji kile kiasi kinachobaki kinakaa Benki kuu kama forex ..
 
Hiki ni kichekesho na sound mpya mjini... Wafanyabiashara ni sisi sisi ujue, watu wanajua kinachoendele, labda useme huko bandarini na kwenye vyanzo vingine ila kwenye ishu ya efd uvujaji ni mkubwa sana! Suala la kulipa kodi kkwa hiari linawezekana kwa wachache sana yani achaneni na hii sound
Kama wewe ni mfanyabiashara unawekewa lengo na lazima kwa mwezi utumie efd kwa sababu unasoma TRA ,so utaweza kukwepa tuu kwa kudanganya turnover ila lazima ulipe na kila mwaka makadirio ni mapya.Ko hapo unalipa kwa hiari.

Pili Ongezeko linatokana na ajira mpya private na public sectors,ongezeko linatokana na biashara na uwekezaji mpya , ongezeko linatokana na miradi mipya inayoanzishwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali,viwanja vya ndege,bandari nk nky yaani mambo ni mengi Sana ya kuongeza uchumi ndio maana ya uchumi kukua.
 
Wewe huoni kama hiyo ni demokrasia mpaka unamuita Rais mbumbumbu..
Sijamuita Rais kuwa ni mbumbumbu bali amejiita mwenyewe kuwa ni mbumbumbu kwa kudai kuwa Tanzania ina fedha za kigeni Tanzania shillings 14,000 trillion(USD 6253 billion)
 
TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Kwa makusanyo hayo sasa kwanin serikal ina kopa pesa za kujenga madarasa na vyoo
 
Safi sana mama Samia tuko pamoja na ww had 2030
 
TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Hata JPM alikuwa ana tabia ya KUPIGA KONA, NA KWENDA MBIO GOLINI KWA ADUI, NA KUFUNGA GOLI MWENYEWE!
 
Mbona kama wanatuchanganya hawa jamaa.
Mara nchi itapugwa mnada mara deni la Taifa limeongezeka.
Sasa Mwigulu hapa anatamba kama mbeba kikapu cha fedha wa Tanzania nchi inenda spidi sahihi na mwelekeo sahihi.
Anamsifia mama kwa kubeba maono.
Hapa kanisani anatamba kweli kweli
 
Back
Top Bottom