FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni utaahira kulipa mikopo na riba trillion 10 halafu unakopa tena trillion 10 hiyo hiyo uliyolipa, ili uje uilipe na riba tena, kuna nati zimelegea vichwani mwetu, hii sio kawaidaKamwe Nchi haiwezi na haitakaa iache Kukopa kwa hoja za kijinga..
Kukopa mikopo ya riba nafuu ni bora kuliko kudunduliza vinginevyo mahitaji ya urgent na ya haraka yatakwama..
Pia mikopo ni kwa ajili ya ku sevu dharura in case zinatokea huwezi subiria vimakusanyo vya TRA ,utafeli vibaya.
Nyie layman wa uchumi fanyeni ku stick kwenye fani mnazozielewa,economics achaneni nayo kabisa mnajiaibisha.