Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kichwa chako kipo sawa kweli wewe? Makusanyo hadi tarehe 31 December, taarifa yake ulitaka itoke lini??Mbona unakuwa mpuuzi extreme!ππππππππππ
Unafikiri kwa nini leo wameamua kutoa huo waraka?!
Jiongeze.
Hongera Rais Samia ,Yale magenge ya wasaka madaraka unazidi kuyaziba masikio..
Ila machadema mna akili za kuku aiseeTRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Mi mwenye makusanyo yangu ni milioni 50 kwa nusu mwaka ilhali ukweli kabisa ni milioni 30 pekee.Sasa makusanyo hadi tarehe 31 December, taarifa yake ulitaka itoke lini??Mbona unakuwa mpuuzi for nothing Suzy!
Na mbolea
TRA inasema lake, waziri mkuu amasema lake, Rais anasema lake, sasa 1.3 Trilion mlikopa za nini iwapo mlikusanya 11 Trilioni?
Hii mijitu ndio maana mwendazake alikuwa anafungasha kwenye virobasiasa chafu chafu, siasa za propaganda...kuna watu hakuna jema kwao litakalofanywa na serikali.....kila jambo kwao lazima wakosoe...
Ndio maana nasema serikali irudishe kikosi Kazi maana tungeweza kukusanya zaidi ya hapo.Ukweli ni kwamba mwamko wa watu kulipa kodi umepungua, kwa sasa mambo ya EFD wafanyabiashara hawaogopi tena tofauti na miezi michache imepita. Hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanatoka wapi?
Ni sawa na kusema rushwa imepungua wakati imeongezeka mara dufu. Polisi (hasa wale wa barabarani) siku hizi wanaomba rushwa waziwazi bila kificho, na kwangu mimi hawa jamaa ndiyo kipimo cha rushwa inchini.
Hizi ramli haziwezi kukusaidia,hata akili ndogo za kutumia huna yaani unaona kila siku investors wanamiminika then unategemea Kodi isipatikane?Umeniwahi au wanapika data Hangaya asionekana kashindwa kukusanya Kodi.
Kudhibiti polisi ni ngumu kwa sababu wanashirikiana na wenye vyombo vya moto kula rushwa.Ukweli ni kwamba mwamko wa watu kulipa kodi umepungua, kwa sasa mambo ya EFD wafanyabiashara hawaogopi tena tofauti na miezi michache imepita. Hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanatoka wapi?
Ni sawa na kusema rushwa imepungua wakati imeongezeka mara dufu. Polisi (hasa wale wa barabarani) siku hizi wanaomba rushwa waziwazi bila kificho, na kwangu mimi hawa jamaa ndiyo kipimo cha rushwa inchini.
True Kilimo hakiwapi kiki wanasiasa.Wazo zuri tatizo hatuna kiongozi wa kuyafanyia mawazo chanya kama haya...
Sijui hapa govt imeishiwa mbinu au vipi..Watu wanalaumu Kukopa huku Kodi hawalipi..Watanzania wengi hatulipi kodi, huu ndio ukweli...hizi EFD machine zilipaswa kuwepo kila mahala.....kwa mama ntilie, viduka vya uswahilini huku, kwenye mabus ya abiria, magari ya mizigo...ifike mahala uwe utamaduni tu na jamii izoee..
Utakalia hayo hayo mkuuHii Serikali imekaa kama Sungura, ujanja ujanja umekuwa mwingi - Aibu!
Yanajitegemea.Hongera ila kiwango bado kidogo kwa nchi kubwa kama hii..endelee kukusanya kodi kwa ufasaha na weredi...pia tozo zetu za miamala ya simu ipo kwenye haya makusanyo au yenyewe inajitegemea?..na nani atakuja kutupa taarifa yake?
#MaendeleoHayanaChama