TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 

Watanzania wengi ni wahalifu na wavunja sheria lakini pia ndio wepesi kulalamikia serikali..
 
TRA wanatufelisha sana
 
Utakuwa Masikini wewe, Na unamuonea wivu aliyekuajiri.
 
Watanzania wengi hatulipi kodi, huu ndio ukweli...hizi EFD machine zilipaswa kuwepo kila mahala.....kwa mama ntilie, viduka vya uswahilini huku, kwenye mabus ya abiria, magari ya mizigo...ifike mahala uwe utamaduni tu na jamii izoee..
Ndiyo maana wakati ni mwingine ni kama unakubaliana na Mwigulu na mamake kukomaa na tozo ya miamala. Watanzania hawapendi kulipa kodi ila kwa tozo za simu wanalipa wapende wasipende.
 
Utakuwa Masikini wewe, Na unamuonea wivu aliyekuajiri.
Hii mentality ndiyo tunao watanzania asilimia 90 ila tunataka maendeleo, na mambo mazuri ilihali ni wabinafsi na wezi, kuanzia raia wa kawaida mpaka viongozi wa juu.
 
Pesa nyingi zote zinaishia kwenye matumbo yao hazina faida kwa raia wa hali ya chini.
 
Ndugu, samahani sana nakuomba sana tena sana faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…