Na sababu hasa ilikuwa ni kukurupuka ili kumfunika Lisu.
CHAWA MIMI CM 1774858 ,Ni aibu Sana kwa mtu mzima mwenye familia kugeuka kuwa CHAWA.
msipotangaziwa mnataka mtangaziwe...mkitangaziwa mnasema uongo...Jema lipi sasa?
Mjinga ni Lissu anayejifanya nayeye ni Rais wa nchi, Pbafu kabisakwahiyo Rais wa nchi aache kuhutubia watu wake eti kwasababu ya Lissu.... Rais kuhutubia au kutoa salamu za Mwaka mpya mbona ni utaratibu wa kawaida tu....kwa hiyo alikuwa anashindana na Lissu.
Ndiyo maana mmemuandikia mama enu hatuba yenye data za mchongo kuhusu akiba ya dola?CHADOMO wamekwama karibu kila kona,
CHADOMO mmekosa agenda kabisaKwa taarifa yako, watangaze wasitangaze tunajua kuna upikaji mkubwa wa data. Wala mimi sina popote ninapotaka watangaze maana najua ni uongo tu.
Punguza jazba wewe mama.Mjinga ni Lissu anayejifanya nayeye ni Rais wa nchi, Pbafu kabisa
kwahiyo Rais wa nchi aache kuhutubia watu wake eti kwasababu ya Lissu.... Rais kuhutubia au kutoa salamu za Mwaka mpya mbona ni utaratibu wa kawaida tu....kwa hiyo alikuwa anashindana na Lissu.
CHADOMO mmekosa agenda kabisa
Kwa taarifa yako, watangaze wasitangaze tunajua kuna upikaji mkubwa wa data. Wala mimi sina popote ninapotaka watangaze maana najua ni uongo tu.
Tupe ukweli basi supported with data..
Rejea kusema kuna akiba ya $6,000b+, hapo ndio mjadala. Kuhutubia anaruhusiwa hata kila siku, maana ndio utaratibu toka Magufuli alipoingia madarakani. Hata akitaka awe mtangazaji kabisa ni ruksa.
EU nako mmekwama naona,Hatuna data za kupika agenda tutatoa wapi?
Tulipe madeni sasa na petrol ishuke bei===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,
Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2065695
View attachment 2065697
Ukweli ni huo wa akiba ya $6,000b+.
Unafikiria alikusudia kusema hivyo au ni makosa ya kiuandishi kwenye hutuba...?
Unamjibu Samia? Au unamjibu nani??Nitawajibu leo hii,
dah, hizi aina ya siasa zetu...balaa...endelea kusheherekea mwaka mpya bosi....
Suala muhimu si kuvunja rekodi bali ni kwa namna gani kodi hizo zitatumika kwa ajili ya maendeleo ya wananchi. Kumbuka ndani ya makusanyo haya yapo pia yale yatokanayo na tozo ambayo matumizi yake yalianishwa katika kipindi ambacho tozo zilipitishwa na Bunge.===
Tangu Uhuru wa Taifa hili hakuna kipindi chochote katika historia ya ukusanyaji kodi tulikusanya TZS 2.51Trilioni kwa mwezi mmoja,
Pamoja na kwamba ukusanyaji kodi wa awamu hii ya sita ni rafiki na hakuna kukimbiza wafanyabiashara wala zile presumptive accessment hazipo tena, Hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
View attachment 2065695
View attachment 2065697