TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Unafikiria alikusudia kusema hivyo au ni makosa ya kiuandishi kwenye hutuba...?
Utafanyeje makosa makubwa kama hayo? Leo ni zaidi ya 72hrs hakuna any official statement kutoka kwao ya kukosoa au kurekebisha statement hio. Then nyie vibaraka ndio mnahangaika hapa, mtakua wajinga
 
Mhusika aliamua kutumia siasa zilezile mnazopenda za kufurahisha watu ili kupata popularity na kuamua kuchanganya maneno kwa tafsiri hela hizo za mikopo mwisho wa siku zitalipwa na Watanzania ( ndio tafsiri yake ya fedha za ndani)...
 
Kwani hamtumii?, mishahara na matumizi mengineyo??
Tozo za miamala ya simu tunakatwa kwa ajili ya madawati na madarasa, kila mwezi zaidi ya bilioni 100, pesa za covid tumekopa Trillion 2 kwa ajili ya madarasa na madawati, bado tunekopa tena trillion 8 kwa ajili ya madarasa na madawati na Zanzibar, sasa madarasa ya Trillion 10 unayajua vizuri wewe?
 
Kabisa kaka ndio siasa zetu zilipofikia, hela za umma zikitolewa unaambiwa ni pesa za rais, ila deni sio la rais ni la taifa! Hapo imekaaje kwa upande wako?

siasa chafuchafu, siasa za propaganda ndio maisha tuliyoamua kuishi pande zote...
 
Mhusika aliamua kutumia siasa zilezile mnazopenda za kufurahisha watu ili kupata popularity na kuamua kuchanganya maneno kwa tafsiri hela hizo za mikopo mwisho wa siku zitalipwa na Watanzania ( ndio tafsiri yake ya fedha za ndani)...

Kama aliamua kutumia siasa hizo hizo tunazopenda na akaamini atatupa, ule uporaji kwenye uchaguzi ulikuwa wa nini wakati wajinga tulishamuamini?
 
Hayo mapato ya bil.100 kila mwezi yangekuwepo ungejenga sgr bila mkopo,,acha kuongea uongo na vitu usivyovijua.
 
Zakulipa deni hilo
Kwa maana hiyo tunakopeshwa pesa zetu wenyewe, halafu tunalipa na riba juu, tena riba ukute ni 40% na mkataba ni siri. Yaani tunalipa trillion 10 madeni, halafu hizo hizo tulizolipa wanatukopesha tena, hii ni a deadly vicious cycle, we need to break it, Ndugai azidi kupaza sauti!
 
Utafanyeje makosa makubwa kama hayo? Leo ni zaidi ya 72hrs hakuna any official statement kutoka kwao ya kukosoa au kurekebisha statement hio. Then nyie vibaraka ndio mnahangaika hapa, mtakua wajinga

kwani kuna sheria yeyote inayowabana kwenye masaa yakufanya marekebisho?....wahusika unafikiri ni watu masela wa vijiweni, wewe ukilalama basi kesho tu wakujibu....lazima tathmini ifanyike na athari zipimwe ndio waone umuhimu wa kufanya hiyo official release ya kucounter...
 
Kila kitu unabuni huna uhakika
 
Hayo mapato ya bil.100 kila mwezi yangekuwepo ungejenga sgr bila mkopo,,acha kuongea uongo na vitu usivyovijua.
Makato ya miamala ya simu kwa ajili ya tozo ya kizalendo kwa mwezi wa 7 kwenda wa 8 Mwigulu alitangaza tumekusanya around 50 billion shillings, achilia mbali 80billion kwa wastani zinazokusanywa kwa mwezi kama makato na kodi ya kawaida ya kwenye simu, jumla jin130bn, hivyo kwa wastani ni 100bn. Bishana na data.
 
Kama aliamua kutumia siasa hizo hizo tunazopenda na akaamini atatupa, ule uporaji kwenye uchaguzi ulikuwa wa nini wakati wajinga tulishamuamini?

uporaji wa uchaguzi una mikono ya dip state maana magenge ya wahuni yanayojifanya vyama vya siasa yasipate nafasi ya kujiona yananguvu...

fanyeni transition kutoka magenge ya wahuni na kwenda vyama vya siasa...vyama vya siasa vilivyo well organized na vyenye watu makini + mipango imara....jamii itawaamini na hata dip state itawalinda....
 
Ndiyo maana wakati ni mwingine ni kama unakubaliana na Mwigulu na mamake kukomaa na tozo ya miamala. Watanzania hawapendi kulipa kodi ila kwa tozo za simu wanalipa wapende wasipende.
Halafu hizo kodi zinaenda kulipa mikopo ya chanjo dozi milioni 2 ambazo hakuna mtu mwenye mpango wa kuzichoma, unadhani hayo ni matumizi sahihi ya akili?!
 
Mpwa, nalazimika kuamini kuwa akili zako hazina akili! Let's close this chapter! Una argue ujinga, kama hakuna time limit ya kufanya hivyo basi Wacha tuendelee kuamini dollar bilion 6 Hadi hapo watakapopata huo muda unaosema.....
 
Ningeshangaa kama usingetokea kwenye hii data ya kupika ili kuhadaa umma. Magu alipandikiza sana hii tabia ya kupika data, na itachukua muda sana kuondoka.
sababu za kupika hizo data ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…