scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Kwamba hizo huduma zimeanza awamu hii huko nyuma kulikuwa hakuna shule wala lami (unaongelea elimu bure au bure elimu). Uliza wazazi wako kama hawakusoma mpaka vyuo na bila shida na sio sasa hata mtu mwenye uwezo hapewi mkopo - wakati ni mkopo na sio grants.Kwamba huko barabarani huoni lami?
Kwamba huoni shule mpya?
Kwamba husikii kuna elimu bure?
Kwamba huoni zahanati na vituo vya afya bikijengwa?
Ninaomba ufafanuzi sababu za ongezeko hili kubwa.
ICSDHii nchi ngumu sana. Kila siku mnapandisha tu kodi na tozo. Halafu mnachofanyia hizo hela mnakijua wenyewe.
Hivi hamna vyanzo vingine vipya vya mapato!
Vipi DP world tukuwapa pande itapungua?
Siwezi kujuawewe ukiulizwa utafariki lini unaweza jua?
Utaratibu wa kufatilia wazee wasilipe hiyo kodi ni rafiki? Wazee wanaumia na hii kodi huku wana sifa za kutoilipa.
Tunaangamia hamna wa kutuokoa bali sisi wenyewe. Wenzetu Kenya wamegomea kodi sisi tumebaki kugugumia.Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi , ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali , sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi .
Maendeleo hayana Chama .
nani kama mama, mama yupo kaziniTunaangamia hamna wa kutuokoa bali sisi wenyewe. Wenzetu Kenya wamegomea kodi sisi tumebaki kugugumia.