TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Kwamba huko barabarani huoni lami?

Kwamba huoni shule mpya?

Kwamba husikii kuna elimu bure?

Kwamba huoni zahanati na vituo vya afya bikijengwa?
Kwamba hizo huduma zimeanza awamu hii huko nyuma kulikuwa hakuna shule wala lami (unaongelea elimu bure au bure elimu). Uliza wazazi wako kama hawakusoma mpaka vyuo na bila shida na sio sasa hata mtu mwenye uwezo hapewi mkopo - wakati ni mkopo na sio grants.

Na unaongelea zahanati na vituo sawa na hizo zote zinatoka kwenye hizi tozo (mikopo je tunayokopa kila siku)? Bima je? Sababu sasa hivi bila bima hata maiti yako inawekwa rehani - hapo kabla tuliweza vipi? Yaani ni kwamba the more mapato wanayokusanya the lesser the services..., na mbaya zaidi wamebadilika kuwa madalali wa kuangalia ni nini nani apewe na kipi nani afanye..., wao wapo busy kwenye propaganda.
 
Nyumba za ibada hazistahili huo msamaha kama pesa yenyewe ni kiasi hicho.

BTW: Serikali inachojua ni kukusanya hela tu yaani report ya CAG ikiibua madudu hakuna uwajibikaji ila solution ni kuongeza kodi kuziba upotevu.
 
YAni hata mtu aongezewe mshahara wa laki moja kila mtanzania bado haisaidii, kila kitu kinapanda.

Alafu watu wanafurahia bunge la chama kimoja lenye kuimba mapambio sawa.
 
Ivi unajiskiaje umepanga nyumba sehemu unamlipa mwenye nyumba lkn huyo mwenye nyumba hakarabati nyumba yake cha zaidi ya kula tuu izo kodi utajiskiaje...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi, ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali, sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi.

Maendeleo hayana Chama.

1690389414956.png
 
Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi , ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali , sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi .

Maendeleo hayana Chama .
Tunaangamia hamna wa kutuokoa bali sisi wenyewe. Wenzetu Kenya wamegomea kodi sisi tumebaki kugugumia.
 
Back
Top Bottom