TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Nimeona hii asee
Hii nchi iko chini ya viongozi wahovyo sana
Walitudanganya tozo za miamala zimetolewa sasa ivi wamepandisha kodi za majengo alooh
 
Haya ndio maendeleo tunayotaka sasa, tulipe kodi kama wenzetu MABEBERU.
 
 
Wananchi mtuvumilie.., hatuna pesa yakufanya chaguzi zetu zinazotarajiwa kuanza mwakani
 
Uwiiiii hatari hii. Bado simenti na vifaa vingine vya ujenzi navyo Bei imeumana.
 
Case closed....... I'm humble you know [emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…