TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Utaratibu wa kufatilia wazee wasilipe hiyo kodi ni rafiki? Wazee wanaumia na hii kodi huku wana sifa za kutoilipa.

Wekeni Utaratibu rafiki kwa wazee na muutangaze.
Mbona ize tu,wanaandika barua tu
Kikubwa sehemu isiwe au kunafanyika biashara

Ova
 
Ee Mola mchukue huyu kiumbe wako akapumzike huko kuliko hii adha anayotuletea hapa duniani na kujilimbikizia dhambi kutokana na dua zetu mbaya.
 
Nimeona hii asee
Hii nchi iko chini ya viongozi wahovyo sana
Walitudanganya tozo za miamala zimetolewa sasa ivi wamepandisha kodi za majengo alooh
Bandua bandika wewe sema tu "Yes" ili yaishe
 
Mtu amenunua tu kipande Cha ardhi Cha hatua 20 Kwa 20 ,amejeng kibanda Cha chumba kimoja na sebure ,hana hata yakumiliki hiyo ardhi kisheria anatozwa Kodi ya jengo la 1500! CcM tuikatae
 
sema mie sjaelewa hapo maana sie tumekatwa 200k tuliambiwa kwa kila ghorofa/rosha moja ni 100k so tukalipa 200k, na hyo ilitokea baada ya kila tukiweka umeme unagoma

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…