TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Kodi yote hiyo????!!! Lengo la serikali ni nn? Kwann isiwe milioni 20 tu???
Hizi Kodi hazina mantiki,ni wizi mtupu kwa matajiri,maana hii Kodi sio kwamba inalinda viwanda vyetu vya magsri ya Benz,tungekuwa na kiwanda Cha magari hapa nyumbani,Ili kulinda viwanda vyetu basi unaweka Kodi kwa anayeamua kuagiza gari kutoka nje,sasa hiyo Kodi Haina maana,ni njia ya kuwakamua matajiri tu
 
Mazingira rafiki ya ulipaji kodi yanafikiwaje namna hii?

Serikali inakamua balaa aisee
 
Kodi karibu na bei uliyonunulia, yaani upumbavu wetu umetufanya tuwe watumwa kwa misheria ya kijinga tuliyojiwekea wenyewe, kila kona ni hivyo hivyo tuu na mitozo isiyo na akili ndio maana hakuna siku tutaendelea
Mkp mtu unanunua gar milinion Mia tano Kweli Kodi ikushibde mm nadhani magar y kifahari kwa nnchi zetu hz za kiafrica hazipazwi na mtu akiliingiza itozwwe Kodi sawasawa haswa hongera Zanzibar piga Kodi had akili iwakae saawa hao wanaonunua magar ya kifahar Mara nyingi ni wahujumu uchumi tu mm ningekuwa commissioner ningepiga mili400 kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa yaani. We acha tu.
Hii kodi ni sawa kabisa. Gari la kifahari hili. Kama hana hizo fedha basi hata kumiliki hilo gari hapaswi. Makapuku wenzangu kama wewe badala ya kuunga mkono serikali inapotoza kodi kwa mambo ya kifahari ndiyo mnajifanya kupiga kelele. Huoni ni busara wanaotaka ufahari kulipa kodi ili makapuku kama wewe tozo ziondolewe?
 
Kodi karibu na bei uliyonunulia, yaani upumbavu wetu umetufanya tuwe watumwa kwa misheria ya kijinga tuliyojiwekea wenyewe, kila kona ni hivyo hivyo tuu na mitozo isiyo na akili ndio maana hakuna siku tutaendelea
Maskini ndiyo mnapiga kelele kumtetea tajiri aliyeamua kununua gari la la kifahari la karibu sh milioni mia saba asilipe kodi! Huu ni unyumbu wa hali ya juu. Mimi nadhani mngeunga mkono serikali itoze kodi kubwa zaidi matajiri wanaotaka kufanya mambo ya kifahari na maskini kama wewe mpunguziwe kodi! Duniani kote magari ya kifahari au vitu vya kifahari kodi yake huwa kubwa.
 
Mm nadhni kwa magar ya kifahar kama lake walime Kodi na Kodi hyo Ni sahih kbsa aliyokadiriwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Hela ndogo sana Kwa Toufiq,nadhani Kuna siasa za kuchafuana hapa.
 
Nchi za kiafrika zitaendelea baada ya miaka mingi sana kupita! Yaana mpaka hawa wapumbavu wachache na vizazi vyao vyote kuisha.

Kwa hiyo ni dhambi kumiliki gari la kifahari! Ukinunua tu basi na wewe unalipishwa kodi kandamizi!!
 
Alikuwa mwanaccm bora kabisa mwenye roho nzuri aliyemdhamini Tundu Lissu Ndege iliyompeleka Nairobi.
Let the family be blessed
Kweli. Na hakuficha kuhusu hilo. Tena alisema kuwa hakulipia pesa kama inavyosemwa bali aliwadhamini Chadema kwa mdomo tu wapewe ndege watalipa baadae. Na Chadema hawakumwangusha Mzee huyu aliyependa kuvaa nguo nyeupe muda mwingi.
 
Inabidi hayo magar yachomwe Moto pindi yanavyoonekana barabarani hkn namna watayakimbia magari ya anaza na kubaki na mkonge tu zile za zamani

Haiwezekani mtu mmoja ajiite wazir Eti land wa fedha alfu ujinunulie gari la milion Mia tano kutembea nalo kidha hadhi majitu Sana Hawa watu hawana huruma na watazani huwa nikiyaona hayo magar natamani niyapige Moto ila siwez tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Kwa Zanzibar ni kawaida kabisa magari kutolewa bandarini na kutumia bila malipo yote ya TRA kukamilika, zingine zimelipiwa asilimia 40, 50 60 n.k sio zote zilizopo barabarani zimekamilisha malipo ya TRA ( naomba nisahihishwe kama nimekosea au kupotosha).

TRA wanatakiwa wawe na uungwana, mtu ameonyesha Nia ya kulipa, na anaendelea kulipa, si ilikua jambo la kukaa mezani kujadiliana namna ya kumalizia pesa iliyobaki? Bado sijaona hili jambo kupelekwa Kwa vyombo vya habari, ni kudhalilisha mteja wao tu.

Zingatia huyo ni mtu amewekeza kwenye maeneo mengi tu, inamaana walitaka hiyo pesa badala ya kuwekeza alipe yote na mambo mengine yasimame? Bado alishajiandaa kutokulipa kodi Kwa vile alipewa barua ya msamaha na ZIPA, hapo busara ilitakiwa itumike.

Pia wasitufanye tukaanza kuchimbua makaburi kufuatilia haya magari ya viongozi wanayoagiza mapya Kwa Bei za juu, pale wanapokuja kuuziana, huwa wanayalipia Kodi stahiki iliyotakiwa kulipwa awali wakati yanaingizwa nchini? Tunajua yanapoingia yanamsamaha wa Kodi, swali ni Je, wanapokuja kuuziana wao Kwa Bei za kutupa wanayalipia Kodi?
 
Kwa gara za kifahar zenye cc 2500 + Kodi iwe maradufu isipo kuwa kwa malorry

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…