Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kodi ikiw kubwa makusanyo upunguaWaongeze hadi 100% wakati sahivu kodi inakimbilia 170% ya gharama halisi 🤣🤣🤣!
Unanunua gari 10M kodi ni 17M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi ikiw kubwa makusanyo upunguaWaongeze hadi 100% wakati sahivu kodi inakimbilia 170% ya gharama halisi 🤣🤣🤣!
Unanunua gari 10M kodi ni 17M
Heeeee heheehView attachment 1671963
Nimeiona mahali nimeshangaa
Acha tuuKwa kweli kama ulikuwa na mpango wa kuagiza gari inabidi utulie kidogo, vuta pumzi kwanza then sikilizia upepo wa kusi ukivuma kwanza, otherwise kaisari anaweza akaipiga gari mnada pale bandarini.
Nachojua kuna 'CIF value' waliyonayo kwny mfumo wa TRA kwa kila gariHivi mtu anaposema bei halisi ana maana gani? Hizo bei za awali hazikuwa halisi? Bora angesema thamani ya shilingi au kupanda kwa bei ya magari hayo. Na kama hakuna badiliko then kwanini kodi iongezeke?
Ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa katiba kupandisha kodi bila idhini ya bunge. Badiliko la kodi ni lazima liidhinishwe na bunge
Kuna rafk angu majuzi kidogo afeMmmh ni rafiki yangu Sana sana, hela imekata nyingine hadi nimemkopesha, maana ana miradi mitatu yote nyokoo imemmalizia hela, anajenga ghorofa, Yuko kwenye michakato ya kuoa, na kaagiza na hilo dude Japan [emoji848][emoji134][emoji134] imagine hapo! Mwana lazima presha ipande!
Kibaya zaidi mi ndo nilipendekeza achukue huo mdude, maana magari hayajui vizuri na michakato yote nimemfanyia mimi ( ndo gari lake la kwanza) jana tulikuwa wote naona hana hata habari na mimi nimekausha ndinga ndo iko njiani inafika two weeks ahead...atalaumu kinoma[emoji848][emoji848]
huku gwajima kule babu tale na pale mwana falisafa 😛😛😛😛😛😁😁😁Wakina Gwajima na babu tale
Wabunge gani hao? Hawa wa tume ya mahera au wale Covid? Sasa kila mtu atafahamu kwanini uchaguzi ulitakiwa kuwa huru na wa haki ili tupate wabunge waliochaguliwa na wananchi.Tuwakomalie wabunge wabadilishe hizi kodi za enzi za ujamaa kwenye magari. Japo unasema unalinda mazingira lakini kodi kubwa hivyo kwenye mtumba una viwanda vya magari?
Gari ni kitu kinachosaidia kukuza uchumi. Ingekuwa ni amri yangu ningeweka kodi karibu na sifuri. Kwenye magari ya kazi kama pickup na fuso watu wangenunua bila ushuru hata mia, ikiwezekana nawapa na hela ya asante😀😀
Kulalamika haya mambo haitusaidii kitu. Inabidi wabunge, wanasheria nk walifanyie kazi.
Nakumbuka ulikuwa team Magufuli wewe? Uwongo?Its against the Tax laws, presumtive Tax ndio mtu anatakiwa alipe bana. We ulijipanga chombo hadi kukitoa TPA ni 30M ila ghafla unapandishiwa 15M juu. Huu ni uhuni usiokubalika.
Si una kichwa ambacho ndio essential katika kuelewa[emoji16]
LiniNakumbuka ulikuwa team Magufuli wewe? Uwongo?
hawaelewi hichoKodi ikiw kubwa makusanyo upungua
Wanajua sema utumia Kodi Kama tools ya kuwafanya watu wawe masikini ni principal za kikomunistihawaelewi hicho
Ashakumu si matusi sheikh... Itakuwa nimekufananishaLini
Kodi inatozwa kwa umri wa gari wakati inaingia TZ na siyo siku ilipoanza safari au siku ilioagizwa. Wakati inaagizwa inaweza kuwa na miaka minane na ikafika bandarini ikiwa na miaka tisa. Kodi yake itakuwa kwa umri wake wa kuingia na siyo kuagizwa.Hata alichofafanua hakifanani na taarifa inayosambaa yani kaongea ongea tu utopolo ili mradi aonekane kafafanua
Hapana sijakiona. Hebu tuletee tulinganishe na hicho tulicholetewa.Umeona kipeperushi kilichokua kinasambaa??? Ambacho watu "wanadai" ndo bei zilizobadilishwa?(kodi)
Tuanzie hapo. Halafu kielezee kwa hayo maelezo yake
Kuna mtu amekiposti kwenye comment yangu hapo juuKodi inatozwa kwa umri wa gari wakati inaingia TZ na siyo siku ilipoanza safari au siku ilioagizwa. Wakati inaagizwa inaweza kuwa na miaka minane au tisa.
Hapana sijakiona. Hebu tuletee tulinganishe na hicho tulicholetewa.
Hizi kodi siyo mpya. Zipo siku nyingi. Mtu wa kulaumiwa siyo Mpango bali Bunge. Mtu wa kumlalamikia siyo Mpango bali Bunge.Pata picha sasa gari yako ndio iko kwny meli kuja Bongo unakutana na hio kodi ya Tsh. 31m,gari itaishia kupigwa mnada tu.