TRA yakusanya Trilioni 22 mwaka wa fedha 2021/22, Nauliza tena Nani kama Samia?

Usukuma hapa unakujaje watu tunajadili makusanyo?kwani humu wote ni wasukuma?mbona unapenda kuendekeza ukabila changia hoja ukabila peleka kwenu kama unaona ni kitu cha maana sababu naona unataka kutambika
Hata kama katitu ni mnyakyusa, ukipingana na mikakati ya Rais Samia tunakuhesabu ni CHADEMA au Msukuma. Wasukuma walikuwa ndiyo wanufaika wakuu wa utawala wa Magufuli
 
Pia itapendeza Samia akiweka wazi mshahara wake na kiasi cha kodi anachokatwa je hili litafanyika lini?
Mkuu ungeanza wewe kuweka wazi mshahara wako ili kuonyesha mfano
Maana hiki hakihusiani na mada husika ni Kama umechomekea tu
 
Wasukuma hiyo NEGATIVITY yenu dhidi ya Samia itawaua na vijiba vya roho. Rais kaahidi 23% pay rise kuanzia Julai 1, 2022 ila nyinyi hamuamini na hamtaki. Shauri yenu I Magufuli amezikwa na ROHO yake mbaya hatorudi tena
Acha ukabila , Jenga hoja bila kuhusisha ukabila ,usiturudishe nyuma huko tumeshatoka
Huwezi kuhukumu kabila zima kwa Kwa makosa ya watu wachache, Kila mtu abebe mzigo wake
Hii tabia ni ya kijinga tuachane nayo mkuu
 
Acha ukabila , Jenga hoja bila kuhusisha ukabila ,usiturudishe nyuma huko tumeshatoka
Huwezi kuhukumu kabila zima kwa Kwa makosa ya watu wachache, Kila mtu abebe mzigo wake
Hii tabia ni ya kijinga tuachane nayo mkuu
Lazima tukemee ukabila na udini. Wengi wanaoomkosoa Samia sababu zao kubwa ni tatu; Mzanzibari, Muislamu halafu Mwanamke. Tusipowasema wataendelea, I hooe umenielewa
 
Karibia 70% ya mapato hayo yanaenda kwa walamba asali trust me.


Asante JPM kuweka mifumo bora ya ukasanyaji kodi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii nchi inaharibiwa na hawa chawa na walamba asali huwa hawatumii akili..kazi yao ni kuleta propaganda kupotosha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu ungeanza wewe kuweka wazi mshahara wako ili kuonyesha mfano
Maana hiki hakihusiani na mada husika ni Kama umechomekea tu
Mimi sina mshahara najilipa daily tu kwa kazi zangu binafsi tena mkwanja wa maana na kodi nalipa vizuri .

Huyu Samia mshahara analipwa na watanzania so ipo haja ya watu kujua analipwa kiasi gani sio atuletee habari za kuhamasishw kodi huku yeye hakatwi kodi na by the way mimi sio public figure kama yeye.
 
Mnasifia halafu mkiambiwa bei za vitu zmepanda mnalia. Wanaweka recoding lkn waTz wengi wakiugua hawamudu gharama za matibabu, watoto wanatembea umbali mrefu kwenda shule, barabara vijijini mbovu ...nk. Huenda mnaosifu ndo mnaofaidi keki ya taifa. Sasa hivi thamani ya Tsh ni kama nn sijui, mnasifia ...dah!
 
Hayo uliyoandika yanahusianaje na mapato kuongezeka?

Hoja ni mapato kuongezeka hayo mengine ni suala jingine.Hata hivyo Ili kuyapunguza au kumaliza hizo changamoto japo juu inahitajika mapato zaidi na zaidi walau Til.2.5 Kwa mwezi na sio Hizi Til.1.85 Kwa mwezi..

Hii ni hatua nzuri ya kuelekea huko.Lipa Kodi Ili serikali ipate pesa za kutoa huduma hizo hapo Juu vinginevyo utaishia kulalamika na kudai haki ambazo hujatimiza wajibu wako..

Ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti.
 
Kakwambia nani sijatimiza wajbu ktk klipa kodi. Nlitegmea ungenambia ww ni mtoza ushuru tu na sio mpangaji wa bajeti lkn unashabikia kuvunja rekodi ya kukusanya tu! Yaani haijalish kwako kna waTz wanashinda, wanalala njaa, watt wanasoma mbl na watu wanakufa kw magonjwa yanayotibika ...nk. kwako ni mapato kuongzeka tu. Rekodi zinavunjwa lkn umaskini unaongezeka!Bajeti ya 10% ya maendleo ndo tnaipigia kelele, rekodi zavunjwa za maksanyo znaishia kwenye mishahara na maposho yenu (90+%). Hatushangai, huenda furaha yako na pongez zote hizo ww ni mnufaika. Tseme nn tena. Kaz iendlee
 
Acha mbwembwe za kijinga,hayo yote yatatatuliwa kwa pesa,lipa Kodi na huduma zifike sio kuleta siasa wakati unajua hakuna shortcut
 
Mdogo wake na Mayalla [emoji23]
Ashukuru magufuri alijaribu kutengeneza miundo minu ameikuta nchi iko mahali pazuri aliyepokea toka mzee wa msoga aliikuta bot chungu hakina hela
 
Angalau mama ana hofu ya Mungu sio yule mchawi alijua kupika data aisee.
Marehemu alichakachua TAKWIMU na ikawa ndiyo tabia matokeo yake hata Magufuli alipokufa tarehe 9/03/ 2021 akina Majaliwa wakaendelea kuchakachua kutuambia kuwa yuko ofsini anapigia mafaili. Ndipo tarehe 17/03 akatangazwa. What comes around goes around
 
Acha mbwembwe za kijinga,hayo yote yatatatuliwa kwa pesa,lipa Kodi na huduma zifike sio kuleta siasa wakati unajua hakuna shortcut
Sawa, zangu ni mbwembwe za kijinga. Sikusoma vzr kama wewe. Lkn ujue kodi yangu ya kijinga ndo imekfikisha hapo mpk unagundua kuwa sisi ni wajinga, hatkusoma kama ww. Ndo mnavotuona ss ambao hatkupata fursa mlizo nazo. Alowapa ninyi ndo alotnyima ss. Ubarikiwe kw sana
 
Kumbe Kuna mashindanoo
 
hili ni PIGO kubwa kwa wenye CHUKI binafsi na wapinga maendeleo.

Mungu anazidi na atazidi kubariki utendaji wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…