instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kapigwa na wananchiMzee naskia kalazwa kwa kupigwa na wale wajeshi waliokuwa wamemchukua alafu sasa hivi wanasema eti alipigwa na wananchi😀😀
Hivi huyu afande wenu huwa mnamuelewa kweli? Video zimesambaa za tukio mwanzo mwisho hakuna mwananchi aliyejaribu kumgusa huyo doctor Hadi wanajeshi walivyokuja kumchukua.
Wanataka jamaa akikata moto wapate nafasi ya kusema kuwa alipigwa na wananchi Case iwe closed
Mambo ya kupigana yalishapitwa na wakati.Inadaiwa tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Jamaa alisimamishwa na traffic, lakini baada ya kusimama wakaanza kubishana. Traffic akachomoa funguo za gari na kutaka kuondoka nazo, ndipo jamaa akamvaa Traffic na kuanza kutembezeana kichapo…
Amempiga hawajapigana.Mambo ya kupigana yalishapitwa na wakati.
Labda alitaka kupigana akazidiwa. Bado naamini uungwana ungekuwepo wasingefikia huko.Amempiga hawajapigana.
Amemdhalilisha sana mwanaume mwenzake
Mbabu na ana miaka 35?Astakafullahi, halafu huyo jamaa anyetembeza kichapo anaonekana mmbabu wa town, long time!
KabisaJamaa nasikia ni daktari bingwa Muhimbili.
35yrs medical specialist sema shule ya afya inakomaza.Mbona aliyempiga ni babu kabisa wa kupiga kofi moja tu na kuangukia mita 100 kabisa.
Mji umekuza, waraza naona anaficha mvi!Mbabu na ana miaka 35?
Inadaiwa tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Jamaa alisimamishwa na traffic, lakini baada ya kusimama wakaanza kubishana. Traffic akachomoa funguo za gari na kutaka kuondoka nazo, ndipo jamaa akamvaa Traffic na kuanza kutembezeana kichapo…
Lakini on record, jamaa kaigaragaza Sirkali...!!!Namuonea huruma jamaa kuliko huyo Afande. Atasoma namba zote
KAma ni 35 itakuwa alidanganya.siyo kwa upara huo.kikawaida dr hawana hasira.huyo atakuwa specialistwa mchongo kama dr mwaka au sigwa35yrs medical specialist sema shule ya afya inakomaza.