Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

Wataenda kumchangia huko mahabusu wampige. Halafu huyo soldier siku nyingine aache kimbelembele
 
Coca badala umuonee huruma huyo jaamaa, wee ndio kwanza unampongeza. Mimi namuonea huruma angejikaza tu kuliko kumpigq huyo trafik. Huyo jamaa labda awe na ndugu teeth au ni teeth la sivyo ataona rangi zote duniani.
Acheni kutishia watu mimi nimeshuhudia polisi walipigwa kipigo Kikali mno tena walikuwa wawili na dogo mmoja ni bodaboda pale mtwara....na dogo akapelekwa mahabusu zaidi ya kupigwa makofi ila hakuna kingine tena walimfanya
 
ZPC anasema Mtuhuniwa alipigwa na Raia baada ya yeye kumshambulia Trafiki, akitoka Hospitali wataanza kumuhoji kwa Kina.

Neno kuhojiwa kwa kina ndio shida itaanzua hapo. Hasira hasara
 
Hasira hasara. Alichokitafuta atakipata, na n

Ni full majuto kwa sasa, sometimes unapotezea ili maisha mengine yaendelee.
Kupiga askari akiwa katika majukumu ni jambo gumu sana hata kulitafakari.
 
Wananchi wakiamua wanaweza, ila askari wakiwa na bunduki wanakuwa na confidence ya hali ya juu sana.
 
Hili fundisho kwa polisi
 
Acheni kutishia watu mimi nimeshuhudia polisi walipigwa kipigo Kikali mno tena walikuwa wawili na dogo mmoja ni bodaboda pale mtwara....na dogo akapelekwa mahabusu zaidi ya kupigwa makofi ila hakuna kingine tena walimfanya
Ni mambo ya kawaida tu ayo uku kwetu askar wengi tu wanapigw na Raia na mtu haichukuwi ata week anachiwa ila baada ya apo askar huwa na heshima ata amuone apo anavunja sheria za barabaran hamulizi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…