Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

Afande mzima anagalagazwa kwenye vumbi na raia wa kawaida! Kuna mafunzo kweli ya ukakamavu kwa huyu askari?
Na bado wakubwa zake eti wanamtetea askari mzembe kama huyu! Askari mzima unashindwa kupambana!
 
Afande mzima anagalagazwa kwenye vumbi na raia wa kawaida! Kuna mafunzo kweli ya ukakamavu kwa huyu askari?
Na bado wakubwa zake eti wanamtetea askari mzembe kama huyu! Askari mzima unashindwa kupambana!
Hilo linaonekana ni tatizo la askari wengi, bilashaka uliwahisikia kua hata JW askari akiwa mmoja anakujaga mpole akiwa anasunbuliwa na raia asiye askari,ila sasa akienda kambini akirudi na wenzake,ndo wanakuja wanamdhibiti aliyemzingua mwenzako.
Huyo aliyemfanyia hivyo huyo trafiki nadhani anajua anachopitia muda huu huko alipo.
 
Wakuu,

Tanzania ni nchi yenye Utawala wa Sheria. Kwamba, kila mtu aliyepo nchini Tanzania, regardless status yake, anakuwa governed na sheria za nchi.

Lakini mara nyingi sana huko barabarani, traffic police anakupa ishara ya kusimama, unatii sheria unasimama.

Anafika anataka Leseni kwaajili ya ukaguzi, unampatia.

Ghafla na kwa force, anaingiza mkono kwenye usukani na kuzima gari na kunyofoa ufunguo from the ignition switch, na kuondoka!

Ukiuliza sababu ya kitendo hicho, unajibiwa mbovu na lugha za kibabe kwavile tu yeye ni askari.

Sasa nauliza, kwa mujibu wa sheria za nchi, Je, traffic police anaruhusiwa kumvamia dereva kwenye usukani na kunyofoa ufunguo wa gari? Ni sehemu ya utaratibu kwenye majukumu yao?

-Kaveli-
 
Sio wananchi! Sema jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) la pale lugalo ndiyo waliompiga na hakuna mwananchi alimgusa ushahidi upo walivyomchua alikuwa salama kabisa huyu doctor sasa imekuaje kaishia hosptal
Kwanini Dr ampige mtumishi mwenzie.

Wananchi ndo walimpiga siyo jwt Mimi nilikuwepo eneo la tukio
 
Tatizo wanajiona wamevaa ile crown kichwani wanajua watu wanaheshimu crown laiti wangejua hahahah
 
Kwanini Dr ampige mtumishi mwenzie.

Wananchi ndo walimpiga siyo jwt Mimi nilikuwepo eneo la tukio
Acha upuuzi na ujinga ujinga wa kutaka uonekane unaongea kitu cha ukweli wakati na wewe unasimuliwa na unakuja kusema alipigwa na wananchi huku hauna uhakika.

Kwenye picha hizo za tukio zima kulikuwa na mfanyakazi wa kampuni moja ya barabara na yeye alihusika kuamlia ugomvi Wala doctor hajapigwa na wananchi alitoka hapo akiwa salama kabisa.

Alafu humu JF nimeona sasa hivi Kuna watu wa porojo sana kuliko uhalisia Yani unasema ulikuwepo wakati waliokuwepo na kuamlia ugomvi kabla hata ya wanajeshi kufika mnawapinga ili kutetea nini sasa kwa mfano?

Ficha ujinga wako kijana
 
Kwahyo hutaki kuamini
 
Masikini watamtesa sana lock up
Yote haya mnayasababisha nyinyi, watu mnaomfanyia kazi ovu Samia Suluhu Hassan.
Siku zake zinaelekea ukingoni. Hizi ni dalili za mwanzomwanzo tu!
 
Arudi uraiani akiwa mzima hivi unajua kesi ya kumpiga asikali akiwa kwenye kazi yake?
Kiufupi hakuna rangi ataacha kuiona.
BABA LEVO alimdunda trafiki na sasa ni Mbunge wakijichanganya unamkanda vzur tu...
 
Inaitwa hasira hasara. Huu msala Jamaa hatoboi.
Hivyo ni unavyoona wewe. Kuna wengine kuna kiasi cha kunyanyaswa wasichoweza kukivumilia.
Unayoeleza hapa wewe ndiyo yaliyotufikisha hapa leo kunyanyaswa na mtu duni kabisa kama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…