Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Traffic wa Dar kiboko,wanabeba hadi mikoba!😁.

BTW: Hivi huu ni ushahidi usiotia shaka unaoweza kumtia hatiani mtu kuwa alikuwa anapokea rushwa kunako mahakamani?

Yasiwe yaleyale ya DC Bomboko na kesi ya makahaba Ubungo,mashahidi wa Jamhuri wakaishia kung'ata kucha tu.
 
Hawa wamekamatwa Kwa sababu wameonekana lakini hii ipo majiji yote na Huwa inafanyika Kila siku.Mimi nimeiona sana hapa Dar lakini unaamua kupotezea tu.kila daladala 2000, muda mwingine Hadi 5000.
Ni uzalendo ukiwapiga picha au kuchukua video,kuliko kukaa kimya,ulinzi wa raia na nchi,si wa askari tu,unaanza na wewe mwananchi.
 
Mambo ya aibu kabisa. Ila hawa mahakamani watatoboa, nani ana uhakika/ushahidi kuwa walichokuwa wanapewa ni pesa!? Japo sote tunajua wamepokea pesa ila kisheria wanaweza kukwepa huo mtego.
 
Ni taarifa za maigizo au taarifa za kutengenezwa kama kawaida yao.

Hao Askari Polisi anaodai kwamba wamekamatwa na wako mahabusu, Je, kwa nini hajataja Majina yao?? Why?
Watuhumiwa wengine huwa wanatajwa majina na kuanikwa hadharani ila hao watumishi wao majina hayatajwi na hatuwaoni!
 
Nimewaonea huruma tu masikini ya mungu, hawa ni watoto wa maskini tu wamepata ajali kazini , ni wa kuwaonea huruma maana ajira zenyewe hakuna wakifukuzwa ndio tumewapoteza
 
Nusu ya hiyo pesa inarudi kituoni kilasiku wanaenda kugawana na wakubwa wao
 
dah sio sawa umewaanika wenzio ona sasa. kwan si ni madaladala hayo nayo yana makosa meng .
mchkua picha hukupaswa kuchkua video sio poa u akua kama hujaenda depo bwana
 
Hawa wamekamatwa Kwa sababu wameonekana lakini hii ipo majiji yote na Huwa inafanyika Kila siku.Mimi nimeiona sana hapa Dar lakini unaamua kupotezea tu.kila daladala 2000, muda mwingine Hadi 5000.
Leo Pale Morocco Airtell walikuwa wanachukua elfu 5.
 
Huyo Mwenyewe Kamanda J4 achukui chambi chambi?, awaachie bhana January ngumu hii wanatafuta Ada.
ulimuona?? na kwanin sasa useme anachkua kwa speculation zako tu. unafikir kama rushwa ina majina meng . acha kuchafua watu
 
Kama kweli wanazuia na kupambana na rushwa wakawakamate na wanaokula mabilioni kwenye ripoti ya CAG
[/QUOTE
Umeongea real man uku padogo wanajifanya kweli kukamia uko kwenye billions of money kimya, kutekana kimya, GOD bless Tanzania citizens
 
twajibiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…