residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ngoja nimtafute kijana type ya Muro na nimpe camera afanye kazi kwa traffic wa Rufiji mliomkamata mchepuko wangu na kumtongoza.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
Kwanza askari huwa hawschukuliwi hatua za kisheria bali wanachukuliwa hatua za kijeshii, ambazo ni siri.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
Kwani wezi wote wako magerezàni? Mpaka ushikwe na ushahidi ndo utahukumiwa.Trafiki wote wanakula rushwa. Kama watafukkuzwa hawa wawili tu, nitashangaa ssna.
Mrangi kweli Dula ni Abdala lakini anayekula mihela mpaka wajawazito wakajifungua chini au wengine wakafa kwa kukosa mia tano ya paracetamol na hawa wazee wa buku buku, wapewe onyo kali basi kuwafukuzisha ni mbaya sana tuanze na mapapaa wakinyooshwa hawa vidagaa watakwisha mfano umeonaRushwa inaanzia juu huko kwa vigogo
Ova
AiseeDaladala wanatoa buku 2 Tu ..
Kazi kweli yaniWatoto wakishua bana..formula ganji ni buku mbili tu apo
Ahaaaa Eti karatasi. Za nini mkuu? Huko kwingine wanawezi shindwa kesi hiyo, lakini kijeshi ndo basi tena. Kazi imeishia hapo.Hakuna udhibitisho walicho kuwa wanapokea ni fedha au ni karatasi.
tusihqngaike na vidagaa....tunapaswa kukodelea macho RUSHWA zinazo liangamiza taifa sio buku ya maji.
Kwani walioko magerezani wote ni wezi mkuu.Kwani wezi wote wako magerezàni? Mpaka ushikwe na ushahidi ndo utahukumiwa.
Hawa wakipelekwa mahakamani watachomoa mkuu. Nani ana ushahidi kuwa hicho walichopewa ni pesa na kwamba wamepewa kama RUSHWA? Watapoteza muda bure kuwapeleka mahakamani.Mengine ni aibu sawa tu na kufumaniwa
Pana mama mmoja yupo Arusha anakula rushwa huyo ana anaona kama haki yake tena anasimamisha gari zenye namba mpya mpya tu.Wakiwekwa hadharani ndio wakubwa wanaona aibu na kusema wanachafua sijui nini
Lakini si wanamgawia na yeye?Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.