Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hiyo miaka 21,ni nani aliyekuwa ameusimamisha?Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21.
Source ITV habari!
Mkuu sidhani kama hao ndio wasafiri waliotoka Dar hao ni waliowasili Moshi. Kuna walioshukia Korogwe, Mombo Hedaru nk. Hivyo uwe unafikiria kidogo kabla ya kuandika.Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)
Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Mawazo mengine bana eti treni iwekewe miti ya Christmas, unadhani Wasabato na Waislam wanapionaje jambo hilo.Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Hivi kaskazini inajumuisha mikoa mingapi? Na ndani ya mikoa hiyo kuna makabila mangapi?Halafu kumbukumbu zikifutika vichwani utasikia eti Kaskazini tunabaguliwa katika awamu hii.
Hilo tu limekukasirisha!?Mawazo mengine bana eti treni iwekewe miti ya Christmas, unadhani Wasabato na Waislam wanapionaje jambo hilo.
Stupid
Ufipa mpaka leo hamna ofisi mmepanga kwenye kiosk kile. Shughulikieni shida zenu kwanza.Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Behewa zilizotoka Dar zilikua 9, kati ya hizo 1 ilikua ya mizigo, hivyo behewa za abiria zilikua 8, treni imetoka dar almost full, kuna watu wanaremka njiani na kupanda, na wale wanaokwenda Tanga huwa wanateremkia korogwe, pia kuzidi kukuelewesha, treni ni kama dalalada kila kituo inashusha na kupakia abiria na mizigo, abiria wa hivyo ni wengi sana njiani, mwisho ondoa fikra potofu huyo aliyetoa taarifa kuwa treni imefika Moshi na abiria 294 inawezekana ni kweli kwani sio ajabu hata mabasi yanayoingia Moshi kukuta yakiwa na abiria chini ya 20 wengi wakiwa wameteremka vituo vya njiani ikiwemo mwanga, himo, chekereni, nk nk nk. Taarifa za uhakika nilizonazo hadi muda huu ni kuwa treni toka Dar-Moshi ni almost full hadi Jan 1, sasa nyinyi endeleeni kujidanganya na taarifa fake za mtandaoni ila ukipata muda tembelea vituo vya treni moshi/dar ili uthibitishe ninayokuambia usisubiri taarifa pitofu za mamluki wa wamiliki wa mabasi ambao ndio adui namba 1 wa hii treniMabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)
Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Taarifa za uhakika nilizonazo hadi muda huu ni kuwa treni toka Dar-Moshi ni almost full hadi dec 1,
Nani aliuwa reli hii?
Ikitokea uwe tayari kusaidia kutoa Maelezo.Sijuhi ni kwa nini napata hisia kuwa hii treni muda si mrefu itasababisha janga la kitaifa!!
Sijuhi tu yaani!!
Huyo ni mbongo halisi, huwa shukrani kwao ni msamiati wa kigeni.Hii analysis ni ya kurudiwa maana kule busisi tunatoka mwendo wa masaa 2.5 mpaka dk 4.
Tofauti ni kubwa sana
Kaka kunywa unachokunywa nakuja kulipa.Tehe tehe,pinga pinga hamkosi la kusema
Treni ipo fully booked mpaka 31 dec
Hakuna mchagga atakusikiliza wewe wakati anafika moshi kwa 15,000
Waendao moshi miezi ya december ilikua ni kilio na kusaga meno,hayo masaa ulioyataja ndio walikua wanayatumia kulala ubungo kusubiri basi lije halafu nauli ilikua 90,000
Wewe usipoangalia utakufa na roho yako ya kishirikina.Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Konyo koza wee una prado?nitakuumbua wewe na kile ki paso chako cha red.wee jifanye tuu mjuaji kama sijakuanika hapaafadhali maana wachaga walikuwa wananisumbua sana kuazima prado langu kila desemba, bora wapande treni.
Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Ukweli hata kama ni mchungu lazima usemwe ukiwa ndani ya ccm wewe kazi yako ni kupiga vigelegele tu.Wewe usipoangalia utakufa na roho yako ya kishirikina.
Njoo na wewe ndani ya ccm kwani vigelegele vyako ni muhimu, unachangia huu uzi kwa kujilazimisha kwelikweli, pole sana.Ukweli hata kama ni mchungu lazima usemwe ukiwa ndani ya ccm wewe kazi yako ni kupiga vigelegele tu.